Suge Knight hataki kumtaja aliyempiga bunduki

Suge Knight hataki kumtaja aliyempiga bunduki

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,746
Milio ya risasi ilisikika usiku wa kuamkia jumapili 24/08 saa 1:30 kwenye klabu ya usiku ya 10AK, West Hollywood kwenye pre-VMA party. Baadae ilifahamika kuwa co-founder na former CEO wa Death Row Records, Suge Knight ndiye alikua mlengwa usiku ule.

Watu walioshudia wanasema Suge alipigwa risasi ya tumboni, mkono na sehemu nyingine, lakini aliWahishwa hospitali mara moja.

Kwasasa polisi wamejaribu kumuhoji kuhusiana na tukio hilo lakini Suge ameshindwa kutoa ushirikiano kabisa na kusababisha kukwama kwa uchunguzi.

Imekuwa ni vigumu kupata nafasi ya kuongea nae na hata walipopata nafasi, Suge mwenyewe alifanya kushangaa eti hajui kinachoendelea.

Inasemekana Suge Knight hataki kuongelea au kutaja maadui zake ili asionekane SNITCH.

Ikumbukwe kuwa marehemu Tupac Shakur usiku aliouwawa alikuwa na pamoja Suge Knight.

Source TMZ
 
teh teh marion kakaangu utakufa na lundo la maadui ambao hujawataja...

dunia inatambua wewe ni ngoma ngumu...badilika
 
Majina ya watoto au miradi yetu nayo humaanisha kitu hivi CEO wa 'Death Row Records' naamini jamaa yupo kwenye foleni ya kifo!!
 
Huyu jamaa, sijawahi kumuelewa kabisa pamoja na kufutilia sana habari zake, ila ni moja kati ya watu nawahusudu sana kwa tabia zake!
 
Huyu jamaa, sijawahi kumuelewa kabisa pamoja na kufutilia sana habari zake, ila ni moja kati ya watu nawahusudu sana kwa tabia zake!

Inewezekana huyu akawa mtu hatari sana kwa jamii, anawafahamu fika watu waliofanya mashambulizi jumamosi lakini hataki kuwataja asionekane SNITCH, nafikiri kinachofuata hapo ni kulipiza kisasi yeye mwenyewe na team yake. Kwahiyo na yeye ni sawa na muuaji tu, na huyu huyu ndiye anayejua siri ya kifo cha Tupac.
 
Ni kweli na huyu jamaa ni mtu ambaye bifu kwake huwa haliishi, lakini kwa kifo cha Tupac, hata P. Diddy anaujua ukweli.
 
Ni kweli na huyu jamaa ni mtu ambaye bifu kwake huwa haliishi, lakini kwa kifo cha Tupac, hata P. Diddy anaujua ukweli.

Juzi watu walimuweka kwenye target wakammiminia risasi sita, ana bahati sana la sivyo sasa hivi angekuwa marehemu.
Ndo hapo ajue bif hazina mpango na utu uzima wake
 
Huenda hataki kuwataja ili aje awamalize mwenyewe kimya kimya...

Maana akiwataja hataweza kuwamaliza tena..
 
Hao wauaji wanajifunza kuua,,risasi sita unamkosa mtu kibonge kama huyu mbwa!! Hizo sekunde 3 mie zingetosha kumpeleka kuzimu huyu mbwa!! Wanapaswa kufa wao sasa
 
Huyu mshenzi ndio kasababisha mauaji ya 2pac na big katukosesha ladha huyu fedhuri wangemfumua ubongo tu na bado lazima wam peel his cap.
 
Huyu mshenzi ndio kasababisha mauaji ya 2pac na big katukosesha ladha huyu fedhuri wangemfumua ubongo tu na bado lazima wam peel his cap.

Hao jamaa watakuwa wanajifunza kuchezea vyuma,,watoto wadogo hao,,shot sita unashindwa kumuua mtu kibonge kama huyu!!
 
Hawa ndo wana mabifu, bifu linakaa miaka na miaka
 
50 was shot nine timez and he is still breathin'

Target killing ni taaluma za watu. "shooting a human"ni kozi ya miezi 9 darasani anko.
Na wanaoisoma wanasoma na anatomy pia. Si kila ajuae kupiga risasi anajua "target killing" wapo watu huitwa killing machine.
Street shooters waliompiga 50 risasi za taya ni watoto wadogo tuu kwenye vurugu za kawaida sio target killing iliyokw organised na experts.
 
yule mbwa wake DAM nadhani atakuwa ameshakufa.
dah suge namkubali ile mbaaaaya
 
Cheki bonge hilo lakni washindwa kumpa 1shot..katuondolea legend wa hip hop cheki sasa hivi wanahi hop wanaimba imba bila mpango..huyu jamaa ndio muuaji wa 2pac Shakur..anastahili kufa
 
Attachments

  • 1409308106410.jpg
    1409308106410.jpg
    36.7 KB · Views: 125
Cheki bonge hilo lakni washindwa kumpa 1shot..katuondolea legend wa hip hop cheki sasa hivi wanahi hop wanaimba imba bila mpango..huyu jamaa ndio muuaji wa 2pac Shakur..anastahili kufa

Kumbe hiliii lingededi tu maninaaaa
 
Back
Top Bottom