Suggestion: Formation ya Simba kupambana na Red Arrows

Mkidharau mechi kama ya wale makirikiri mnaweza leta habari nyingine.
 
Kuanzia mstari wa kati kwenda mbele sina mashaka na Simba balaa lipo huku nyuma kwa walinzi.
Varane na Onyango hapo sawa kabisa, Wawa na Kapombe wasubiri kwanza.
 
Wale jamaa ni wazuri, ni uwanja tu uliwapa changamoto siku ile.

So simba waingie kwa tekinik ya kujilinda zaidi kuliko kutaka sifa ya kuwapiga nje ndani
 
Marekebisho kidogo kwenye formation na tunamtoa wawa anaingia Onyango
 
Wale jamaa ni wazuri, ni uwanja tu uliwapa changamoto siku ile.

So simba waingie kwa tekinik ya kujilinda zaidi kuliko kutaka sifa ya kuwapiga nje ndani
Ukianza kuongelea uwanja mzee nakuona kama wewe ni mtoto kwenye mpira. Teams zote zilicheza kwenye uwanja huo huo. Malalamiko ya kitoto haya.
 
Wale jamaa ni wazuri, ni uwanja tu uliwapa changamoto siku ile.

So simba waingie kwa tekinik ya kujilinda zaidi kuliko kutaka sifa ya kuwapiga nje ndani
Akili za kitopox hizi......
 
Wale jamaa ni wazuri, ni uwanja tu uliwapa changamoto siku ile.

So simba waingie kwa tekinik ya kujilinda zaidi kuliko kutaka sifa ya kuwapiga nje ndani
Leo wangecheza na beki 3, inonga, wawa na kennedy kama lwanga kapona leo acheze na mkude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…