Suggestion: Formation ya Simba kupambana na Red Arrows

Suggestion: Formation ya Simba kupambana na Red Arrows

Ni kama kocha kakopi na kupesti vile
Mnyama akipata hata goli moja tu la mapema hapo ntakua na imani manake wachezaji wa Simba wamekua na tabia za kurelax wakiona wameshaingiza mguu mmoja ndani.
 
Ukianza kuongelea uwanja mzee nakuona kama wewe ni mtoto kwenye mpira. Teams zote zilicheza kwenye uwanja huo huo. Malalamiko ya kitoto haya.
Hope umeamini maneno yangu sasa.
Tatizo mnaangalia mpira kishabiki zaidi badala ya uhalisia
 
Bora wewe Pascal Wawa ulimtoa mapema,kaaribu sana leo na kocha wa Madrid ya Buza akuona madhaifu yake.
Lakini goal la pili ukiangalia kwa makini ni poor marking ya Bwalya. Damu nzito kuliko maji.
 
Bwalya ametuangusha leo sijaona mpira alocheza
 
Back
Top Bottom