Suggestion: Formation ya Simba kupambana na Red Arrows

Ukianza kuongelea uwanja mzee nakuona kama wewe ni mtoto kwenye mpira. Teams zote zilicheza kwenye uwanja huo huo. Malalamiko ya kitoto haya.
Si ndo maana mashabiki wa Uto wakaitwa manyani.
 
Ulimsikiliza kocha? Simba sio timu nzuri bali inamtegemea morrson. Unadhani atamuacha Morrison aendelee kusumbua?
Sasa kati ya wachezaji 11 uwanjani aliyekuwa anacheza ni Morrison pekee yake. Hayo mawazo ni ya kishetani shetani. Simba imekuwepo tangu 1936. Simba ni kati ya team bora Africa.

Leo unataka tupokee maoni ya mtu tuliyejipigia bao tatu zero.
 
Sawa lkn ata perfom mwingje ila sio Morrison. Hatofurukuta.
 
Mashambuliz mengne yalkua yanaanzia kwake so akikabwa mashambulizi yatakua ni hafifu.
Sasa wewe unaujua mpira kuliko Dilunga, Bwalya, Kanoute na Kagere siyo. Yaani kwaakili yako hiyo kama Kocha wa Red Arrow anafikiria hivyo leo kagere anaondoka na mipira miwili.
 
Kwa siku ile makhirikhiri mlisema hivi lkn kilichotokea huyo Morrison wenu hakuonekana na kama sijasahau alifanyiwa sub.
 
*nasubilia.
Hakuna pepo hapo, ni ukweli huo simba hawana timu wanategemea mtu mmoja.

Wanachinjwa leo na tar 11 wanaliwa.
Mzee unateseka sana. Kuywa japo kiroba cha konyangi uondoe mawazo. Utakuja kufa na pressure kwa kushadadia vitu visivyokuhusu.

Unadhani kuna mtu anaweza kumkaba Morrison kwa akili yako ya KITOPOLO TOPINYO!?
 
Kwa siku ile makhirikhiri mlisema hivi lkn kilichotokea huyo Morrison wenu hakuonekana na kama sijasahau alifanyiwa sub.
Mzee nyie mlipigwa ndani na Rivers United. Nyie subirini bonanza la mapinduzi cup ndio size yenu. Waachieni wakubwa wafanye yao. Nyie bado mnanyonya nyonyo za GSM.
 
Mzee unateseka sana. Kuywa japo kiroba cha konyangi uondoe mawazo. Utakuja kufa na pressure kwa kushadadia vitu visivyokuhusu.

Unadhani kuna mtu anaweza kumkaba Morrison kwa akili yako ya KITOPOLO TOPINYO!?
Dsh ww jamaa unajitia upofu. Geita majuzi tu hapa wamemficha huyo mtu na hakuonekana kabisa. Vip leo na washamjua tayar, unadhan atafanya kitu.

Na kama unaongelea tar 11 ndo usahau kabisa, Morrison hawez ku perfom mbele ya Yanga.
 
Unateseka sana mwanangu. Tunawapulia kisogoni, ndio maana mnahaha. Tuliza munkali mtoto tuwatie dole gumba.

Wanaume wakiwa wanajadili tulia jikoni utupikie dagaa.
 
List yako imetoka kama ilivyo,wachezaji wote ndani.
Screenshot_20211205-151153.png
 
Back
Top Bottom