NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Si ndo maana mashabiki wa Uto wakaitwa manyani.Ukianza kuongelea uwanja mzee nakuona kama wewe ni mtoto kwenye mpira. Teams zote zilicheza kwenye uwanja huo huo. Malalamiko ya kitoto haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndo maana mashabiki wa Uto wakaitwa manyani.Ukianza kuongelea uwanja mzee nakuona kama wewe ni mtoto kwenye mpira. Teams zote zilicheza kwenye uwanja huo huo. Malalamiko ya kitoto haya.
Kwanini? Umekuwa mfuga majini ya utabili kama shekhe Yahaya!?Believe me Morrison leo atatukanwa na mashabiki ile mbaya.
Kujihami ni kushambulia na kumilki mpira siyo kuzuia.Leo wangecheza na beki 3, inonga, wawa na kennedy kama lwanga kapona leo acheze na mkude
Ulimsikiliza kocha? Simba sio timu nzuri bali inamtegemea morrson. Unadhani atamuacha Morrison aendelee kusumbua?Kwanini? Umekuwa mfuga majini ya utabili kama shekhe Yahaya!?
Sasa kati ya wachezaji 11 uwanjani aliyekuwa anacheza ni Morrison pekee yake. Hayo mawazo ni ya kishetani shetani. Simba imekuwepo tangu 1936. Simba ni kati ya team bora Africa.Ulimsikiliza kocha? Simba sio timu nzuri bali inamtegemea morrson. Unadhani atamuacha Morrison aendelee kusumbua?
Mkuu na huku pia unateseka?Believe me Morrison leo atatukanwa na mashabiki ile mbaya.
Sawa lkn ata perfom mwingje ila sio Morrison. Hatofurukuta.Sasa kati ya wachezaji 11 uwanjani aliyekuwa anacheza ni Morrison pekee yake. Hayo mawazo ni ya kishetani shetani. Simba imekuwepo tangu 1936. Simba ni kati ya team bora Africa.
Leo unataka tupokee maoni ya mtu tuliyejipigia bao tatu zero.
Mm hata siteseki. Nna furaha yote nasubulia hilo game mtu amalizwe.Mkuu na huku pia unateseka?
Basi watakuwa ni wapunbavu kumkaba Morrison pekee.Sawa lkn ata perfom mwingje ila sio Morrison. Hatofurukuta.
Mashambuliz mengi yalkua yanaanzia kwake so akikabwa mashambulizi yatakua ni hafifu.Basi watakuwa ni wapunbavu kumkaba Morrison pekee.
Nasubulia ndio lugha gani hiyo. Kemea pepo la UTOPOLO uwe huru.Mm hata siteseki. Nna furaha yote nasubulia hilo game mtu amalizwe.
*nasubilia.Nasubulia ndio lugha gani hiyo. Kemea pepo la UTOPOLO uwe huru.
Sasa wewe unaujua mpira kuliko Dilunga, Bwalya, Kanoute na Kagere siyo. Yaani kwaakili yako hiyo kama Kocha wa Red Arrow anafikiria hivyo leo kagere anaondoka na mipira miwili.Mashambuliz mengne yalkua yanaanzia kwake so akikabwa mashambulizi yatakua ni hafifu.
Kwa siku ile makhirikhiri mlisema hivi lkn kilichotokea huyo Morrison wenu hakuonekana na kama sijasahau alifanyiwa sub.Sasa wewe unaujua mpira kuliko Dilunga, Bwalya, Kanoute na Kagere siyo. Yaani kwaakili yako hiyo kama Kocha wa Red Arrow anafikiria hivyo leo kagere anaondoka na mipira miwili.
Mzee unateseka sana. Kuywa japo kiroba cha konyangi uondoe mawazo. Utakuja kufa na pressure kwa kushadadia vitu visivyokuhusu.*nasubilia.
Hakuna pepo hapo, ni ukweli huo simba hawana timu wanategemea mtu mmoja.
Wanachinjwa leo na tar 11 wanaliwa.
Mzee nyie mlipigwa ndani na Rivers United. Nyie subirini bonanza la mapinduzi cup ndio size yenu. Waachieni wakubwa wafanye yao. Nyie bado mnanyonya nyonyo za GSM.Kwa siku ile makhirikhiri mlisema hivi lkn kilichotokea huyo Morrison wenu hakuonekana na kama sijasahau alifanyiwa sub.
Dsh ww jamaa unajitia upofu. Geita majuzi tu hapa wamemficha huyo mtu na hakuonekana kabisa. Vip leo na washamjua tayar, unadhan atafanya kitu.Mzee unateseka sana. Kuywa japo kiroba cha konyangi uondoe mawazo. Utakuja kufa na pressure kwa kushadadia vitu visivyokuhusu.
Unadhani kuna mtu anaweza kumkaba Morrison kwa akili yako ya KITOPOLO TOPINYO!?
Unateseka sana mwanangu. Tunawapulia kisogoni, ndio maana mnahaha. Tuliza munkali mtoto tuwatie dole gumba.Dsh ww jamaa unajitia upofu. Geita majuzi tu hapa wamemficha huyo mtu na hakuonekana kabisa. Vip leo na washamjua tayar, unadhan atafanya kitu.
Na kama unaongelea tar 11 ndo usahau kabisa, Morrison hawez ku perfom mbele ya Yanga.
List yako imetoka kama ilivyo,wachezaji wote ndani.Mapendekezo yangu. Hayahusiani na akili za UTOPOLO
View attachment 2033460
List yako imetoka kama ilivyo,wachezaji wote ndani.