Uchaguzi 2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

Uchaguzi 2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii hapa ni kata ya Igawilo jioni hii

Subpost 2 - SUGU kama SUGU..   @jongwe__   Kata ya IYELA.   Makamanda wa MBEYA,  ( 360 X 640 ).jpg
Subpost 1 - SUGU kama SUGU..   @jongwe__   Kata ya IYELA.   Makamanda wa MBEYA,  ( 360 X 640 ).jpg

Kumbuka hilo ni jeshi dogo tu la Mbeya mjini akiwemo kamanda John Mwambigija
 

Attachments

  • IGAWILO _fire__fire__fire__fire__fire_..... - TukutaneOktoba28 - TutashindaNaTutatangazwa - Sa...mp4
    2.2 MB
Wasanii wanaogopa baada ya uchaguzi kwisha kama alikuwa anashabikia chama pinzani anakuwa amepoteza maana atabanwaaa,hata hao watu silikali sio wote ccm wengine wanalinda vyeo vyao tu.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Erythrocyte nenda kwenye uzi wa TCAA na vibali vya elekopita ya 'ni Yeye', mmemuacha BAK anaangaika mwenyewe! Hoja 'zimetuelemea' huko! Aisee kaongeze nguvu kwenye uzi huo . Ha ha haaa!
 
Ni rahisi mrema kuwa mbunge kule tulia mbeya labda wapeleke convoy ya kijeshi...jamii ya mbeya wana ulevi na siasa za upinzani

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Sio ulevi wanakula vizuri..Mbeya mwanafunzi akigraduate chuo kikuu kawaida hawafanyi party..watu wa Dar njegere anasa ila Mbeya kawaida tu..
 
Mbeya huwa hawapindishi, heshma zenu makamanda wa kusini!
Siri kubwa ni kutokuwa na njaa , Ku Mbeya akajapo unsekele , lo ulu tukuswiga kuno afumile unsekele ugwa ccm , kwa tafsiri ya kiswahili " Mbeya hakuna wembamba kwa vile misosi ni ya kumwaga na ndio maana tunashangaa kimbambau wa ccm alikotokea "
 
Back
Top Bottom