Uchaguzi 2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

Uchaguzi 2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

Magufuli anadai atanunua boti/meli... Gwajima naye anadai atanunua boti/meli !Kero kubwa ya Watanzania sio boti/meli!
Magufuli na CCM yake mpya wameshaharibu mahusiano yetu(TANZANIA) na mataifa ya nje .....CCM hawana sera ni utopolo tu! WATANZANIA HASA VIJANA TUNATAKA AJIRA NA KUTHAMINIWA UTU WETU HASA AKINA MAMA!
GWAJIMA NI MBAKAJI HANA JIPYA!
 
Iyela, Mbeya
Tanzania

SUGU akiwa ktk kampeni za ubunge 2020


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Joseph Mbilinyi akiwa kata ya Iyela jijini Mbeya akifanya kampeni ya kuomba kuchaguliwa tena kuwa mwakilishi wa wananchi ngazi ya ubunge. Pia John Mwambigija almaaruf waziri Mkuu wa Mbaya ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Mbeya na viongozi wengine wa chama walikuwepo kunadi wagombea.[/MEDIA]
 
Back
Top Bottom