Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.
Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku wa kienyeji, na kwa kweli kwa hali ya Uchumi wa Tanzania kwa sasa sioni kama itakuwa vema kuweka hapa Kitita ambacho Bilionea huyu ametoa baada ya kununua kuku huyo , Ni mzigo mzito mno !
Hali ilikuwa hivi.