Sugu akutana na Askofu Mwaikali. Ashiriki harambee ya Ujenzi wa Kanisa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.

Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku wa kienyeji, na kwa kweli kwa hali ya Uchumi wa Tanzania kwa sasa sioni kama itakuwa vema kuweka hapa Kitita ambacho Bilionea huyu ametoa baada ya kununua kuku huyo , Ni mzigo mzito mno !

Hali ilikuwa hivi.

Screenshot_2023-09-23-23-57-54-1.png
 
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.

Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku wa kienyeji, kwa hali ya Uchumi wa Tanzania kwa sasa sioni kama itakuwa vemabkuweka hapa Kitita ambacho Bilionea huyu ametoa baada ya kununua kuku huyo.

Hali ilikuwa hivi.

View attachment 2760001
bora ametoa sadaka kanisanikuliko zingeishia kwenye betting.
Jamaa yuko addicted sana na kubeti uskute ata hizo alizotoa alitusua mkeka
 
Nchi ipo gizani,Huyo Sugu, Mbowe na genge lake wanasema nini kuhusu hili?Wao kama chama kikuu cha upinzani ilitakiwa tuone makali yao katika hili. Then huyu Sugu ashawahi pings dhuruma kuhusu Bandari au hayamuhusu?
 
Yaani huko mbeya wameshindwa kupeleka mbuzi au ng'ombe mpaka mnada mkubwa unakuwa kuku tena chotara?

Haya kamnunua kwa bei gani ?

Well acha wenye moyo wa kutoa wamtolee Mungu.

Naamini na Mchungaji wangu mmoja was there.
 
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.

Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku wa kienyeji, kwa hali ya Uchumi wa Tanzania kwa sasa sioni kama itakuwa vemabkuweka hapa Kitita ambacho Bilionea huyu ametoa baada ya kununua kuku huyo.

Hali ilikuwa hivi.

View attachment 2760001
Sugu Moto chini
 
bora ametoa sadaka kanisanikuliko zingeishia kwenye betting.
Jamaa yuko addicted sana na kubeti uskute ata hizo alizotoa alitusua mkeka

Oh okay, nafikiri hauna mahusiano na hela zake mpaka umuingilie katika mambo binafsi?
 
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.

Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku wa kienyeji, kwa hali ya Uchumi wa Tanzania kwa sasa sioni kama itakuwa vemabkuweka hapa Kitita ambacho Bilionea huyu ametoa baada ya kununua kuku huyo.

Hali ilikuwa hivi.

View attachment 2760001
CHADEMA na Sugu wenu mnajidhalilisha.
Askofu wa mapepo huyo!
 
Kama alishindwa kuichangia CHADEMA hela za kununulia kiwanja cha kujenga ofisi ya chama unafikiri Sugu ataanzia wapi kutoa hicho unachoita kitita cha pesa kwa mwaikali kununua kiwanja? Ndio maana hata wewe umeshindwa kuweka hapa hicho kiasi unachodai ni kitita. Au kama unajiamini weka hapa basi japo najuwa huwezi maana unajuwa itakuwa aibu na ndio maana umekuja kupiga blaa blaa tu.
 
pole kwa maumivu
 
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.

Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku wa kienyeji, kwa hali ya Uchumi wa Tanzania kwa sasa sioni kama itakuwa vemabkuweka hapa Kitita ambacho Bilionea huyu ametoa baada ya kununua kuku huyo.

Hali ilikuwa hivi.

View attachment 2760001
Hongera sana kijana wangu kwa kurudisha kwa "jamii" kinamna!
 
Back
Top Bottom