Sugu aliimba huu wimbo akiwa na umri gani?

Sugu aliimba huu wimbo akiwa na umri gani?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶

Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?


 
Duh hii ime NI touch Sana kwanza ndo mwaka nilikuwa nimezaliwa
Pili ujumbe wake imenyooka Sana na kumbe ufisadi umeanza kutamalaki toka zamani
Tatu kweli ccm imeshindwa kuondoka ufisadi
Nne sugu ni bonge la mwana hip-hop toka kitambo
Hilo tamasha NI mnazimmoja ?
 
Jamaa mwaka 1996 alikuwa na miaka 24 , sugu kazaliwa 1972.

Ila akili alizokuwa nazo Kama za MTU wa 50 yrs
 
Duh hii ime NI touch Sana kwanza ndo mwaka nilikuwa nimezaliwa
Pili ujumbe wake imenyooka Sana na kumbe ufisadi umeanza kutamalaki toka zamani
Tatu kweli ccm imeshindwa kuondoka ufisadi
Nne sugu ni bonge la mwana hip-hop toka kitambo
Hilo tamasha NI mnazimmoja ?
Jamaa alikuwa visionary snaaa
 
Back
Top Bottom