Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

hii ungeiweka kisanii zaidi kuwa sugu kapata ubunge kawaacha wanamuziki alikuwa nao...labda hivo other wise ina utata hata bado haipo sawa...na haipo sawa maana kila mtu alikuwa ana familia yake na shuguli zake.....af muda iliyokuja si muafaka maana ndugu yetu ameshatangulia mbele ya haki na hakuwahi kulalamika kwa mtu in public
 
Mimi namfahamu Woka vizuri sana na sipendi kuona mtu anaongea vitu vya ovyo na visivyo na maana hasa wakati huu ambapo ameshalala.
Woka hakuwa mgonjwa bali alipata ajali tu, sasa we na uongo wako eti alimtelekeza kipindi chote cha ugonjwa mpaka kufa.

Sugu hajawahi kuwa rafiki wa karibu wa Woka na pia Sugu sio mbunge wa wasanii ni mbunge wa Mbeya hivyo chuki zako peleka huko mbele ya safari

R I P Woka.....
 
Kama alishiriki kampeni na akatelekezwa angesema hayo mwenyewe sio mpaka leo mauti wewe umsemee ndio ttz like hata km ilkuwa hivyo huenda ndio mkataba wao leo wasaniii walishiriki kampeni za mwaka jana vyama na wagombea tofauti sasa waulize nao wametelekezwa au walichotarajia kit one?
 
Kesho tunaaga muhimbili kesho kutwa tunasafirisha kijijini kwao. Roho ya marehemu itamlilia Sugu mpaka mbele ya haki kwa kumtumia kisha kumtelekeza akistuggle sana.
Lawama nyingine za kijuha hizi. Ningeuelewa huu uzi kama ungeletwa na marehemu mwenyewe kulalamika ni vipi sugu kawatelekeza hao wasanii na pindi wanampa kampani alikuwa akiwapa ujira bei gani na huo udereva walielewana sh ngapi kwa trip/mwezi maana yawezekana kabisa pengine John Walker(RIP) mwenyewe hakuipenda hiyo kazi au mkataba haukuruhusu kumfanya aendelee na hiyo kazi.
Halafu wewe ni nani mpaka ujitwishe cheo cha kumsemea marehemu na kama ni kimbelembele tu then where were you to speak it before the denounce of our beloved JW?
 
Kwani ilikua a contractual relationship? wakati wa uhai marehemu aliwahi kulalamika kuzimwa haki yake?
In most cases mnaposaidiana kwenye movement kuna kitu unabenefit kwa muda ule..hio iko wazi ila suala la uendelee kubenefit ni issue ingine pia kumsaidia mtu is so subjective na haina formula!

Cha msingi ni kumuombea walker apumzike salama pia sugu naye afanikiwe zaidi ila wao wenyewe wanajua walinufaishana vipi(mutualism)..
 
Mmh, jamaa kaumia jana na tangu hyo jana yupo mahututi unaambiwa sugu kamtelekeza "tangu" aanze kuuumwa hadi anakata roho hajamtumia 'salam' za pole. Mbongo mtu hatari sana aisee.
Umeona eee.............mi kimya sana mkuu.
 
Woka hajawahi kuwa dereva wa Sugu. Aliyekutuma kakupa taarifa za uongo
 
Jamani wachangia Huu Uzi
Badala ya kumkosoa mle uzi
Mnatukana WA BONGO WOTE
Kwamba sisi pamoja na wewe ni wavivu,roho mbaya na machafu yote
Kisa MBONGO
Tujipende na Tupendane
 
Hahahaha namimi naumwa nimelazawa hapa hospitali ya rufaa mbeya mjini naomba sugu aje kunipa salamu za pole anilipie na pesa kwani nilimpigia kura yangu na ubunge amepata pia ana posho isiyopungua mil 10 kwa mwezi hahahahahahaaaaa.
 
ivi marehemu aliugua kwa muda mrefu eeehee????
 
Sugu ana posho na mshahara zaidi ya million 10 per month kutumia mshikaji wako awe attended earlier ilikuwa ni jambo la kiutu na kiungwana ata kama alimtupa angemkumbuka japo for once.
fanya kazi kwa bidii na ukumbuke kujiwekea akiba itakusaidia baadae,tatizo lenu vijana mnapenda starehe na mnasahau kusave salio.mkipatwa na majanga mnaanza lawama za kutelekezwa achana na tabia za utegemezi mtoto wa kiume.au na wewe ni ommy dimpoz?
 
Binadam bwana!!!

Tunatumia majina yasiyoyetu hapa ila si vyema tukazitumia hizi nafasi vibaya...ipo siku utakutana na mtu akakufaham halafu akakuona bonge la zuzu
 
Sugu ana posho na mshahara zaidi ya million 10 per month kutumia mshikaji wako awe attended earlier ilikuwa ni jambo la kiutu na kiungwana ata kama alimtupa angemkumbuka japo for once.
Mkuu kweli unaamini Sugu alikuwa anawajibika kwa afya ya rafiki yake wa zamani? Umekutana na watu wangapi katika maisha yako? Unategemea ukipata shida wote waje kukusaidia? Tuache hizi tabia za utegemezi.
 
Issue ya kumtelekeza haioanishwi na kifo!
Hebu soma maandiko kwa makini!
Timing tu ya huyu mleta mada ndio tata, lkn context yake iko clear kabisa kuwa Sugu aliwatosa jamaa aliofight nao ili apate ubunge na miongoni mwao ni marehemu John Walker!
Kwa hiyo ilitakiwa awe anawalipa kila mwez aw?
 
fanya uchunguzi kwanza... Dereva wa Mr II alikua mkoloni na Sio John Walker
 
Issue ya kumtelekeza haioanishwi na kifo!
Hebu soma maandiko kwa makini!
Timing tu ya huyu mleta mada ndio tata, lkn context yake iko clear kabisa kuwa Sugu aliwatosa jamaa aliofight nao ili apate ubunge na miongoni mwao ni marehemu John Walker!
Mkuu unapofanya kheir kwa mtu usitegemee malipo hasa hapa duniani,kama amewasahau mwenyezi mungu anajua ukweli
na unapofanya wema usingoje shukran,bila kusahau mwenyezi mungu ndio mtoa riziki na akisema KUA inakua,sasa chamsingi nikumuombea mwenyezi mungu ampe makazi mema peponi.........AMEEN...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…