Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Huyo demu hana lolote hizo kiki watu wana mambo mengi ya kinchi ya kuwaza
 
Hawa ndio wakabidhiwe nchi Hawa, mafisadi, ma dj ma bachelor. God forbid
 
Nimeisikiliza. Huyu mwanamke ni mjinga na hana maadili ya kitanzani. Wanawake wa kitanzania hawana tabia ya kuropoka mambo ya waume zao hadharani. Nadhani atakuwa ana matatizo ya kisaikolojia kama ya yule Dereva wa Tundu Lisu. Nakushauri Sugu mpeleke Kenya mlikompeleka huyo Dereva wenu akapate tiba ya kisaikolojia. Eti kanataja dola, kuna watanzania wanakosa hata shilingi 200 ya kununua chumvi halafu nyie mnatuletea upuuzi wenu wa kututambia dola. Kwani siku mnaombana mapenzi au mnalala na huyo mjinga mwenzio mlipost humu JF.
 
Sasa wabunge wa ccm wanaowajibika kwa familia zao wako wapi, spika wenu aliishia ubungo kibangu kwa hawara na kumtelekeza mkewe salasala hadi alipofuatwa na kurejeshwa home tena akiwa naibu spika, acha upoyoyo fanya yako
Huyu hajawahi kuwa mke wa Sugu huyu ni mzazi mwenzie na Sugu kama alivyo Shubi mzazi mwenzie na Sizonje
 
Ndo mwernyewe ...... Inawezekana mentoring ya kumfanya Faiza afanane na hadhi ya sugu ya sasa ilishindikana.......ndo maana alimwaga..

Aliwamgwa baada ya kutembea n Pampas akiwa ughaibuni.Wakinga wakamweka Sugu chini kumpa shule ya mwanamke wa kuoa.
 

Unaijua Mbeya au unaisikia??Naona uko Jimbo la yule jamaa anayeropoka hovyo Bungeni anayejiita SUPIKA.Kaa pembeni huijui Mbeya achana na Mbunge wetu kama unatka muoe wewe huyo FAIZA Ally
 
Hili povu[emoji15] [emoji15]
 
Dola 7000 elimu ya kindergarten!????
Dah, wengine duniani tumekuja kutembea
Bora ungekuja kutembea uambue hili na lile wewe Duniani umekuja kufungiwa magereza huru yenye kichumba kinachokuwezesha upate hewa tu ili uishi
 
Tatizo la hawa Wa mama huwa Ni
Moja tu,kumtumia mtoto ili kufanikisha mambo hao,Mimi Ni mhanga Wa hata mambo kuna kipindi mausiano yangu yaliyumba sana, hawa wamama atalazimisha amtumie mtoto ili mrudiane tena ama kama sio kurudiana angalau uwe unagonga ngonga hivi,ama utakuta anakuelezea shida za mtoto ukisema usimpeleke hela ukaamua ku ideal na mtoto direct huwa hawataki wao wanataka pesa directly nahisi kwa sababu na wao unufaika humohumo.
hakuna kitu huwa najuta kama kuzaa Nje ki kubwa mungu alichonijalia mkewangu Ni muelewa sana na huyu mwanangu Wa Nje alitokea kunipenda kuliko mtu yoyote hapa duniani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…