Unajua kuna mambo mengine huwa tunalaumu wanaume ila sisi wanawake ndio tatizo, kuna baby momas wengine huwa ni drama queens ukiwaintertain unaweza jikuta unaharibu kila kitu. Japo kweli wapo wababa ambao huwa hawajali watoto wao ila huyu faiza anaonekana tu ana tatizo mahali.
Ukifuatilia trend ya hii movie yao,faiza bado anampenda sugu(alishasema mara nyingi tu) hajamove on, she still wants him, kwahiyo anatumia mtoto kama fimbo ya kumchapia sugu.
Yani kwa kweli hata kama Sugu ana matatizo, ila sidhani kama matatizo yake yanamzidi Faiza. Na angekuwa mwanaume mwingine mwenye moyo mdogo na sio famous, yule mtoto nahisi angeshamsusa.
Faiza is in denial; she is bitter, hajawahi kuaccept kuwa Sugu amemove on, hicho ndo kinachompa kichaa.
Leo atajiproud nimemuacha Sugu, ana kibamia sijui alitaka kunifir@, kesho anaanza tena kumlilia, sijui amemiss kufirw@? Leo Sugu hamtunzi mwanae, kesho nipo tayari kumzalia Sugu mtoto wa pili khaa. Imagine anavyomtukanaga mpenzi wake Sugu, juzi hasira zake kwa Sugu anawaombea hadi mama ake Sugu na huyo mpenzi wake eti afe, jamani hawa watu wanahusikaje na hiyo drama yao? Ndo awaombee kifo?
Hapo hapo anataka wawe wanapigiana simu na Sugu juu ya mtoto, mara apatanishwe na mpenzi wake Sugu, huku kila siku anamtukana, nani atakayekubali huo ujinga? Na Faiza sio kwamba anataka kuongea na Sugu kuhusu mtoto wao tu, yule anataka aitumie hiyo chance kuwa karibu na Sugu pia. Na Sugu angemuentertain tu, angejuta zaidi ya hapa, acha tu aendelee kumpotezea. Cha msingi watafute mtu mmoja wanayemuamini wawe wanamtumia juu ya mawasiliano yao kwa mtoto. Uzuri Sasha anaweza kuongea mwenyewe, wangemtafutia tu hata kitochi kikae home special kwa ajili ya mawasiliano na baba yake.
Na kama Sugu kweli angekuwa hamuhudumii kweli, me nisingeenda kulalamika wala kutukana mitandaoni. Japo inauma lakini ningemlea tu mwanangu bila malalamiko. Kama Mungu alikupa uwezo wa kuibeba mimba ya mwanao, atakupa tu uwezo wa kumtunza. Watu wana mahela ya kusomesha watoto wao Mars, ila Mungu hajawabariki na watoto, wewe uliyepewa concentrate kumlea mwanao, achana na huyo baba ake asiyetaka kumtunza mtoto wake, atapambana tu na dhambi yake. Maandishi yao yataishi milele, sijui mtoto wao atajisikiaje akija kuyaona. Too much drama. (Ngoja nikanywe maji)