Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Ingekuwa UK huyu bwana mkubwa angekuwa keshapoteza sifa za uongozi.... Busara na kukaa kimya ni jambo jema sana
 
inabidi tu update sifa za kuoa
feature ya mwanamke awe na akili iongezwe kwenye list
 
Ona sasa. Hayo mambo ya instagram mnayaleta hapa JF ili iweje?? Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe.
 
aiseee huyu faiza acha tu

sugu kaandika maneno machache kwa kupangilia ila huyu mama hatari ilo gazeti aliloshusha[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

na nahisi itakua episode 01[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama alicha makalio wazi hamna mke hapo Mr Sungu piga kazi ukitoa pesa kwa mtoto kosa usipotoa kosa sasa tufanyaje?
 
Ni Mwanamke mwenye mawazo na tabia za hovyo kuliko staa yoyote Tanzania.
Yupo kama Roboti, ni fyatu asiye na hisia hata tone.
Hakuna Mwanaume chini ya jua angetamani kua na Mwanamke wa aina hii.
 
Yaani ktk hili faiza hata kama ana la maana la kuongea siwezi kumuelewa maana lile ni jipu!!!!
 
Unaijua Mbeya au unaisikia??Naona uko Jimbo la yule jamaa anayeropoka hovyo Bungeni anayejiita SUPIKA.Kaa pembeni huijui Mbeya achana na Mbunge wetu kama unatka muoe wewe huyo FAIZA Ally
mimi niko Mbeya Sugu hajafanya lolote uchaguzi ujao tunampiga chini
 
hakika Kuzaa na mwanamke wa namna hii ni kosa kubwa alilolifanya mh Sugu tangu azaliwe!

Ushauri, Sugu wachana na mambo ya uyo kichaa na apambane na hali yake
Mwanao akikua mchukue kisheria
 
Anasingiziwa wapi wakati kweli alikuwa anauza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…