Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Usipokuwa makini na genye zako na maamuzi ya kimahusiano unaweza kujiharibia life sana.kwa sasa sugu haoni kupoteza kitu lakini badae huyu dame anaweza muharibia sana
 
Wanaume tuwe tuna angalia wanawake wa kuzaa nao
 
Ndio maana wanaume wengine wanasusa watoto. Wanawake muda mwingne Akili zetu tunazijua wenyewe tusameheni tu. Ndio mama zenu, wake zenu, dada zenu mtafanyaje
...kwa maneno yenye hekina na busara uloyaandika, hadi chozi limenilenga. Asante kwa kuniongezea ufaham kuhusu wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…