Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB


Sasa wabunge wa ccm wanaowajibika kwa familia zao wako wapi, spika wenu aliishia ubungo kibangu kwa hawara na kumtelekeza mkewe salasala hadi alipofuatwa na kurejeshwa home tena akiwa naibu spika, acha upoyoyo fanya yako
 
Ucjali sugu atakuoa weee

Ova
 

Imehama kutoka sugu na sasa ni wabunge wa Chadema!! Achana na mapenzi fanya yako
 

Mambo ya Familia huamukiwa kwenye ngazi ya familia.Sasa kama hatoi ukimuweka kwenye JF pesa zitatoka??

Huyo Binti Mahakama ilimwamuru ampe Sugu mtoto wake akakataa unataka Sugu akamlambe Miguu.??

Kama mwanamke Faiza hafai kuwa na mtoto kwani anatumia mgongo wa mtoto huyo kujitafutia pesa toka kwa Sugu.Kama anaona Sugu hatoi ada akiweka hadharani kwenye JF,twitter na FB pesa ndiyo zitatoka??

Ningekuwa niko Karibu na Sugu ningemwambia hata thumni asitoe.
 
Mtoto alikuwa anasoma primary sasa naona mtoto Kafka secondary duuu
 
Si ndiye aliyevaa pampas siku ya birthday yake akiwa ughaibuni??

Wanaume na nyie mmezidi
Ndo mwernyewe ...... Inawezekana mentoring ya kumfanya Faiza afanane na hadhi ya sugu ya sasa ilishindikana.......ndo maana alimwaga..
 
Eeh sawa ila ulipe ada na matumizi ya mtoto
Inamaana hizo risit mbili ndio kamaliza?
Wanawake waongo Sana
Mwanamke niliye mpa mimba nilikuwa Nampa 120,000 kila wiki lakini akanitangazia kwa kila mtu na kuniita mume suruali sitoi matumizi
Uamuzi nikuacha kutoa matumizi arudishe mtoto wanawake Viumbe wa ajabu
 
Si ndiye aliyevaa pampas siku ya birthday yake akiwa ughaibuni??

Wanaume na nyie mmezidi

Sijui ni kwa nini mnayaona makosa ya Wanaume na kusahau yenu ,mnavyo ficha makucha sisi tutawajuaje tabia zenu ?..
 
Haijalishi uvaaji wake au uzuri wake..kwani sugu hakuyaona hayo??hadi akazaa nae??
Cha msingi ni Mh Sugu amtimizie tu mwanae mahitaji yanayo stahiki
 
Machadema bana! Huyu Sugu kumuhudumia mtoto ambaye ni damu yake ameshindwa, kuleta maendeleo kwenye jimbo lake ataweza? Pole sana mam (Faiza), umeandika kwa uchungu sana na yote ni kweli tupu tatizo ulizaa na mtu ambaye kila kitu ni kupinga utafakiri yupo bungeni anabishana na Ndugai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…