Sugu amnunulia mpenzi wake gari la kifahari!!

Halafu mambo yakiha
Sugu kanuni yake ni kuwapenda wavaa vini tuu haonj kwa u kioo wake kwa jamii na maadili yetu ni mbali kabisa...!?
ribika anaanza kulialia! Shauri yake na yeye hajifunzi kutokana na makosa! hata muda tayari kehsanunua gari. Halafu masikini binti anafurahi kuandikwa jana utakuta Registration Cards ni ya Sugu. mhh Ya Ngioswe mwachie Ngoswe!
 
manin....aaaa mmejistukia kuwa kazi yenyu kuchungulia mambo ya walionacho. hii ndo tabu ya maskini akikujua kidogo tu.
SHEEEEDDDAAAHHHH!!!
t2021 lazima wakulezege sehemu nyeti kibarua kimeota nyasi sugu mwenyewe anaelewa ngoma nzito wewe kijakazi wake hujashituka unabaki kumnadi au ubongo wote umeliwa na virusi.. ninazz
 
Acha kusemea mioyo ya watu, hivi unajua kuna watu ambao hawajaona la kuwafanya waamini hilo tinga tinga? Usifikiri kila mtu ana mtazamo ka wako.
sio kila mtu ana mtazamo kama wangu .. ila mafuriko makubwa over 85% wako upande wa tingatinga .. coz kila jambo lazima wapatikane wapingaji ili maisha yaendelee.. shetani alimpinga MUNGU.. Wanadamu waliwapinga mitume(muhammad, jesus)..juzi wale wapinzani sugu (moshi, arusha) walikua wanahojiwa kuhusu utendaji kazi wa tingatinga wakaishia kudai TINGATINGA ni nabii na wanaomba aendelee kua rais mpaka mwisho wa maisha yake...
 
Ndio uwezo wa kufikiri ulipoishia?
 
Unaota
 
Acha kusemea mioyo ya watu, hivi unajua kuna watu ambao hawajaona la kuwafanya waamini hilo tinga tinga? Usifikiri kila mtu ana mtazamo ka wako.
MI kura yangu mpaka Kufwa ni[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] upuuzi wa ccm upo pale pale hakuna jipya
 
Mbeya ni jiji la hovyo sana no mipango miji kabisa
 
Wakati unampa big up ukumbuke jimboni kwake wanafunzi wanakaa chini. Na hao ndio wamempeleka Dom.
Stil hujajua kitu binafsi na kazi.
Wema usizdi uwezo, mfano mzuri ni wew hapo je ndugu zako na wew mnaishi katika standard sawa za maisha???
Je unaeza zuia Rais asitembeee na gari au kufanya maendeleo yake binafsi kisa kuna sehem hazina ambulanc au dispensry???
 
Huyu walikutana nae mtandao gani?
 
Mtu ukiwa na hela hivyo vitu ni vya kawaida sana ila kwa watu amabao walisha zoea umaskini kwao ni kitendawili.
 
Hii ni tabia ya wanaume wa Sinza. Wanaume wa Dar sio tabia yetu hivyo
 
Sasa suguu unadhani atamaliza matatizo ya wanambeyaa yoyote...jje viongozii Wa Mbeya wote hawapooo..asiishi vizuri Na mpenzi kiss mtasema..eeeh eehh Sugu mnunulie hata Hammer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…