johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu huyu kiboko ya Makamanda hapa Jf πππ₯ππ π π π π π Mwashambwa huyuhuyu wa JF
πππPalikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa mh Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani mh Joseph Mbilinyi Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia
Hata hivyo Lucas amesema yeye hana Nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025
Nawatakia Sabato Njema ππ
........watabubujika machoziii furaha....mama atoshasPalikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa mh Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani mh Joseph Mbilinyi Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia
Hata hivyo Lucas amesema yeye hana Nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025
Nawatakia Sabato Njema ππ
Kama unaumia saga chupa umezeHili jukwaa limegeuzwa Jukwaa la Komedi
Ha ha ha haaaaa !!!!!!!Kama unaumia saga chupa umeze
I just bubujikwa with joy of tears βπππππPalikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.
Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.
Nawatakia Sabato Njema ππ
Kiboko tena? Kiboko yule alienawasema watawala , ikipita gari tu dirishani mikojo inamtoka , halali lkn huyu sawa na Msigwa kwa sasa, wakilala wanakoroma mpaka asubuhiHuyu yu kiboko ya Makamanda hapa Jf πππ₯π
Huyu shetani labda agombee UWT pekeePalikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.
Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.
Nawatakia Sabato Njema ππ
Posho za UWT zilitoka janaBaada ya kumaliza kulipa kodi ya nyumba hapo kwa mtogole, unaonyesha furaha yako