johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.
Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.
Nawatakia Sabato Njema 😄😄