Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maujanja saplyaz hawana akili na hawako creative, siwaonei huruma.Pole kwa mapacha na vinegativite wengine wafuata upepo
Clouds hawana tena jeuri ya kumshusha mtu kwa sasa. Game ilisha-change.Maujanja saplyaz hawana akili na hawako creative, siwaonei huruma.
Namuonea huruma ADILI, yuko multi talented, rapper, producer, movie director etc
KAZI zake zinabaniwa kwa sababu tu ni kinega
Ni kweli mkuu,tena si kwa clouds tu hata kwa Radio na Tv zingine hiko kitu hakiwezekani, labda iwe kolabo la vituo vingi lakini si kwa bifu ya kituo kimoja iweze kumshusha msanii hiyo haiwezekani. Tena kwa hawa wasanii wenye majina ndio hawawezi kabisa.Clouds hawana tena jeuri ya kumshusha mtu kwa sasa. Game ilisha-change.
Wewe si mfatiliaji wa habari za burudani pengine huo wimbo si mara ya kwanza kupigwa hapo hata siku ulipo tokea mkanganyiko na Mr Blue ulipigwa!Baada ya vita Vya muda mrefu ya Clouds Media Group na Joseph May Mbilinyi a.k.a Mr. Sugu hatimaye Leo Clouds TV wanapiga wimbo wake na yuko studio live kwa ajili ya interview.
Updates zitaendelea kudondoka kama risasi za rasharasha
Legendary of bongo flavorWe ungependeleaje.
... Aende kama nani?
Clouds media wanamuongelea sugu kipindi ambacho radio yao imeshuka.Wewe si mfatiliaji wa habari za burudani pengine huo wimbo si mara ya kwanza kupigwa hapo hata siku ulipo tokea mkanganyiko na Mr Blue ulipigwa!
Hao walishapatanishwa muda mrefu na hakuna beef kati yao na wamekuwa wakimuongelea Sugu sana tuu kwenye radio!
NB Ni furaha watu wakipatana!