Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sugu sio legendary..Legendary of bongo flavor
Clouds is Good for business...If you can't beat them join them!Figisu za miaka kutaka kumkomoa mtu,kumnyanyasa psychologicaly then now sababu mnaona hadondoki n he's supported na almost all media ndio mnamuita..? It's simply mmeona uchawi wenu umedunda !Get well soon
Mawingu
Wamarekani wao wana msemo wao Usemao, "Marekani haina adui wala rafiki wa kudumu bali ina maslahi ya kudumu"
Sugu sio legendary..
Nkuu Ruge ndo aliesanda baada ya Sugu kupata ubunge.
Hapana mkuu nadhani sugu ndi kasandaNadhani Clouds ndio wamenyoosha mikono.!
Chake kipi?,kimetokana na nini? Ulikuwepo wakati anapewa hicho chake?Alishapewa chake so hakuna tatizo