Sugu asanda, aipromoti Clouds na leo ataunguruma Clouds 360

Sugu asanda, aipromoti Clouds na leo ataunguruma Clouds 360

If you can't beat them join them!Figisu za miaka kutaka kumkomoa mtu,kumnyanyasa psychologicaly then now sababu mnaona hadondoki n he's supported na almost all media ndio mnamuita..? It's simply mmeona uchawi wenu umedunda !Get well soon Mawingu
 
If you can't beat them join them!Figisu za miaka kutaka kumkomoa mtu,kumnyanyasa psychologicaly then now sababu mnaona hadondoki n he's supported na almost all media ndio mnamuita..? It's simply mmeona uchawi wenu umedunda !Get well soon

Mawingu
Clouds is Good for business...
 
Sugu sio legendary..

alikua zamani ila alipoanza ila kuwarubuni wenzie waingie kwenye mabif na baadae kuwasaliti then akaja kujiingiza kwenye bif na bluu mtoto anayeweza hata kumzaa ndio nimegundua hiyo sifa ya ulegendary hana tena!
 
Sugu alikuwa anafanya zile harakati akimdai Ruge hela yake ya deal la malaria ... Alilipwa na beef ikaisha kitambo sana. Sasa ulitaka aendeleze beef ili iweje wakati walishamalizana ... Tumia akili bana.
 
Nadhani Clouds ndio wamenyoosha mikono.!
Hapana mkuu nadhani sugu ndi kasanda

Kwani yeye alikuwa ana pigana against unyonyaji wa wasanii kwa clouds fm, je unyonyaji huo umeisha!!?

Jes group la wasanii walokuwa nyuma ya sugu wamefika wapi!!?

Ukipata majibu hapo utagundua, sugu ka loose automatically
 
Back
Top Bottom