Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Nilishawahi kusikia Mbunge mmoja anasema atatafuta consultant wa kupima akili za Watanzania....naamini juzi tu baada ya Kili Music hata hao mabinti wenzake walikuwa wanamponda binti kishenzi, lakini leo mnataka mgeuke tena wehu wakubwa...
 

sijui kwa nini unatetea ila hukumu imetoka ili kulinda maslahi ya mtoto aliyehatarini kuharibikiwa akikua kwenye malezi ya mama mvaa diapers.ni jukumu letu sote kuhakikisha watoto wanakua vizuri kwenye malezi bora.

kwa hao unaowasema jicho la haki halijawatembelea tu.hakuna mzazi ambaye anahatarisha ukuaji wa mtoto ambaye anatakiwa aachiwe mtoto
 
konda wa bdbd mleta mada kongayi alianza akiwa kama uyo mtoto nahisi..😀😀:thumbup:
 
the law of marriage Act,provides for custody and maintainance of children,S.125(1) of the Act clearly states clearly power of the court to make order for custody 'at any time' ,it further states rebuttable presumption that it is good of an infant below 7 yrs to be with his or her mother as applicable to facts of any particulars case,hence under that view with regards to Faiza's behaviour as proved by hon.sugu before the court its true that your claims are baseless and unreasonable due to the fact that there is no requirement of time to determine the trial court bound to,therefore stop directing your complains straight to the court of law.
 
Jamani huu ni uonevu, kwani huyu faiza lini ameshawahi kuvaa nguo za heshima?
 

kuna wanasheria weng kumbe umu
 

Mkuu umeliweka vizuri sana hili,watu hapa wapo emotional thy are not real,kwa upande wangu nadhani amevuna alichopanda tuache utetezi wa kijinga.
 
halafu huyu sugu ikitokea bahati mbaya ndo atakuwa waziri wetu wa utamaduni wanawake na watoto,wakati kumbe anawatumia na kuwaacha mabinti kama hana akili nzuri.
hataki kutake responsibility kwa mtoto,

Naanza kuwa na wasiwasi na wewe are u serious?
 
Daa...
Nlishaongea hivi huyu dada anafikiria kizazi chake kweli na mambo anayofanya...
Sasa yale yale yamemkuta maana alikua haoni afanyalo mtoto ataaaibika mbele wenye akili wameliona wamelifanyia kazi...
Tena anyamaze kabisa km kiqkili yupo sawa...
 

Mahusiano ya watu wenye majina na watu wa Ng'ambo ya mwezi yako hivyo. Taqqia ndio Imani na msimamo katika Ndoa. Malezi kwa watoto yanajengwa hivyo. Kuomba nafasi ya kujirekebisha ni kawaida yao. Yaani danganya toto.
 
in red: Haina mshiko
 

Sababu kama hizi ndio kielelezo kingine cha pili kwanini mtoto aendelee kukaa na baba yake tena ataambiwa mpaka afikishe zaidi ya miaka 18 kabisa hata kama sheria haipo hivyo
 
katafuta umaarufu wee, haya sasa kaupata, atembee vitako nje tena
 
Siasa pembeni, namuunga mkono Sugu kwa uamuzi wake wa kwenda mahakamani juu ya hili.

Ni wazi kuwa Mama huyo hana uwezo wa kumlea mtoto katika maadili, mahakama imefanya uamuzi sahihi kwa faida ya mtoto.

Big up sugu.


Sijajua hadi sasa Sugu katumia vigezo gani,Ila kumnyang'anya mtoto kwa mama kwa umri ule!!!
Na kama kigezo ni picha za mtandaoni bado hapo kuna shida. Naamini wengi wetu hatujui Faiza anaishi vipi na mtoto wake kwasababu nimambo ya kinyumbani zaidi. Wewe unamuona Faiza akiwa kazini lakini huwez jua akiwa na mtoto wake ana behave Vipi.
Kwanza mtoto kuishi na mama wa kambo asilimia kubwa nimatatizo sana sana wanampa wakati mgumu mtoto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…