Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
bila samahani you are free to make your own judgement,who am i to shutup your foulsmelling mouth sir?
Ukiamua kuwa na mtoto lazima utawaliwe na mtoto kwani mtoto hakukuamru umzae bali kwa raha zako ndo zilikufanya umlete hapa duniani. Ukitaka kukaa na mtoto maisha ya kuzunguka zunguka kwenye mabaa etc unatakiwa kuayaacha hasa mama maana kabla ya miaka 5 mtoto anamtegemea mama. Tuache kutetea upuuzi ati akivyaa etc. You need to think outside the box boss oh!! am supposed to shut my foul-smelling mouth dear me!
 
Screenshot_2015-03-28-01-23-05.png


endeleeni kutetea upuuzi,hapa kaandika kamiss SEX


Kwakweli huyu mwanamke ni tatizo
 
Muda wote nilijua wewe mwanaume kumbe wewe ni binti mrembo mpenda umbea wa viblog uchwara.

we binti mimi ni me bana,kwani huoni arguments za huyo mange zinamake sense at least.
aafu ndo kusema humu jf hakuna umbea eeh?
 
Ukiamua kuwa na mtoto lazima utawaliwe na mtoto kwani mtoto hakukuamru umzae bali kwa raha zako ndo zilikufanya umlete hapa duniani. Ukitaka kukaa na mtoto maisha ya kuzunguka zunguka kwenye mabaa etc unatakiwa kuayaacha hasa mama maana kabla ya miaka 5 mtoto anamtegemea mama. Tuache kutetea upuuzi ati akivyaa etc. You need to think outside the box boss oh!! am supposed to shut my foul-smelling mouth dear me!

so mr sugu atakua akimbeba mgongoni huyo mtoto hadi mle bungeni?
 
kelele zoopote kumbe ni kupiga kampeni ya kuchaguliwa kina asha rose migiro.&!!
umenoa aisee. pelekeni hii hoja kwa sophia simba ili akaifuatilie kwa ukaribu zaidi maana naye ni single parent mwenzenu.
 
Lakini mziki wa sugu wa matusi matusi na uhuni ndio unamfaa mtoto? Sugu anayepigana bungeni? Hapo wote wamekutana wahuni tu.

halafu huyu sugu ikitokea bahati mbaya ndo atakuwa waziri wetu wa utamaduni wanawake na watoto,wakati kumbe anawatumia na kuwaacha mabinti kama hana akili nzuri.
hataki kutake responsibility kwa mtoto,
 
ivi kumbe ukizaa na mtu unatakiwa umlipie mpka kodi ya nyumba?
 
hukumu imepitishwa based on emotions ama rushwa.
picha za mitandaoni sio sababu ya mama kunyang'anywa mtoto wake.
hapa ni wazi kuwa mheshimiwa katoa kitu kidogo asee....

Uwazi gani unaoonesha kuwa rushwa imetolewa au ni dhana tu? huna ushahidi halafu unatumia neno ni wazi wakati wewe mwenyewe unakisia tu!
 
Ukisoma haki za watoto zote na zingine zimeongezeka mtoa post asingeweka post YAKE hakimu alikuwa sahihi
 
ivi kumbe ukizaa na mtu unatakiwa umlipie mpka kodi ya nyumba?

so unategemea mtoto wako alale wapi?.......unataka mwanamme mwenzio akulelee mtoto wako?,if so,then you dont deserve to be called a man...
 
Ni hivi ongeeeeeeeni mkichoka mtuulize tunaompigia kura Mbeya, Sugu ndiye mwakilishi wetu ambaye mpaka sasa Mbeya tunatembea kifua mbele kwa rekodi yake ya ufanyaji kazi uliotukuka na kwa hili tunamuunga mkono kama kuna nishani inapaswa tufikirie kumpa sababu amefanya muendelezo wa kile huwa tunamsifu kila siku, uwezo mkubwa wa kupambanua mambo na utetezi... Sugu mnayeendele kumuongelea humu wengine hata 2010 mlikuwa mnamponda lakini wana Mbeya tukamuuona huyuhuyu anatufaa na kweli ametufaa....HIVI MNAVYOENDELEA KUBOFYA AMESOMESHAWATOTO KIBAO WA MBEYA kupitia taasisi yake ya Mbeya Education Trust Fund na Programu yake ya kuanzisha madarasa ya Kompyuta mashuleni sijui nai tena kaitekeleza, leo hii watoto wa Mbeya wa shule za Kata akha! wanabofya... Ni mmoja wa Baba mzuri kwa kutuwekea dira ya watoto wetu wa Mbeya , sasa sijui mnaposifia hapo nepi zenu na makalio nje sijui mnataka nini zaidi..WAPIGA KURA WAKE WA JIMBO LA MBEYA TUNAMPONGEZA KWA KUTAMBUA UMUHIMU WA KUOKOA MTOTO TOKA MIKONO ISIYOKUWA NA DHAMIRA NZURI KWA MTOTO NA KIZAZI CHA WATANZANIA
 
Mnataka huyo faiza amfundishe Mtoto kuvaa Vic.h.up...I naunga mkono uamuzi wa mahakama after all sababu za Sugu zinashikika,huyo mwanamke tushamuona several times na picha zake zisizo na maadili ya jamii yetu kama zinavyoonekana mtandaoni akiwa Zari white party,Kili awards etc mzazi wa kiume anaejitambua hawezi kumwacha binti yake mdogo alelewe na mama wa vile mwishowe Mtoto aishie kuwa na tabia kama za mama,jamii za kitanzania hatujalelewa kama anavyofanya huyo faiza,kama ni shule atasoma tu Sugu hashindwi.Big up Sugu,big up mahakama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom