mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
Mtoto atambui mama kwa sababu alienda labour. Mama ni malezi bora pamoja na matunzo.
Malezi ya mama ni bora kuliko ya mtu mwingine yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto atambui mama kwa sababu alienda labour. Mama ni malezi bora pamoja na matunzo.
Ukiamua kuwa na mtoto lazima utawaliwe na mtoto kwani mtoto hakukuamru umzae bali kwa raha zako ndo zilikufanya umlete hapa duniani. Ukitaka kukaa na mtoto maisha ya kuzunguka zunguka kwenye mabaa etc unatakiwa kuayaacha hasa mama maana kabla ya miaka 5 mtoto anamtegemea mama. Tuache kutetea upuuzi ati akivyaa etc. You need to think outside the box boss oh!! am supposed to shut my foul-smelling mouth dear me!bila samahani you are free to make your own judgement,who am i to shutup your foulsmelling mouth sir?
like i wa being paid to do that....comon man am doing this to pass time man....it is not like am so committed about this....so figure it out for urself......
![]()
endeleeni kutetea upuuzi,hapa kaandika kamiss SEX
Acha utotopole FAIZA ALLY FOX usikate tamaa utarudishiwa mtoto
Malezi ya mama ni bora kuliko ya mtu mwingine yeyote
Muda wote nilijua wewe mwanaume kumbe wewe ni binti mrembo mpenda umbea wa viblog uchwara.
Ukiamua kuwa na mtoto lazima utawaliwe na mtoto kwani mtoto hakukuamru umzae bali kwa raha zako ndo zilikufanya umlete hapa duniani. Ukitaka kukaa na mtoto maisha ya kuzunguka zunguka kwenye mabaa etc unatakiwa kuayaacha hasa mama maana kabla ya miaka 5 mtoto anamtegemea mama. Tuache kutetea upuuzi ati akivyaa etc. You need to think outside the box boss oh!! am supposed to shut my foul-smelling mouth dear me!
Lakini mziki wa sugu wa matusi matusi na uhuni ndio unamfaa mtoto? Sugu anayepigana bungeni? Hapo wote wamekutana wahuni tu.
hukumu imepitishwa based on emotions ama rushwa.
picha za mitandaoni sio sababu ya mama kunyang'anywa mtoto wake.
hapa ni wazi kuwa mheshimiwa katoa kitu kidogo asee....
ivi kumbe ukizaa na mtu unatakiwa umlipie mpka kodi ya nyumba?
Punguza "uwiiii...." ueleweke!
mhhhhh napita tuu