Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kumbe hajapata 'mzizi' muda mrefu ndio maana anakuwa vile.....atakuwa anakimbiwa na wanaume kwakuwa wakimaliza tu ku'do' bishosti atakuwa tayari ashapost
Utoto unakusumbua.
tatizo generation ya sasa wana tatizo la Diminishing brain capacity,ina maana huoni kuwa hiyo ni copy &paste hapo juu?
Naanza kuwa na wasiwasi na wewe are u serious?
Kamwambie apunguze hizo uuuwiii....maana umeleta habari kama bush-lawyer wake mkuuππ:beer:
1. Sijaelewa hapo faiza anaposema mheshimiwa hajui shule anayosoma mtoto. Ina maana huyo mtoto wa miaka miwili tayari ameshaanza shule..?
2. Utetezi wa faiza unaonekana ni kutaka "kumwaga ugali" maana haumuweki yeye (faiza) katika nafasi nzuri ya kupewa huyo mtoto. Anachojaribu kuonyesha ni kwamba wote wawili hawafai kumlea mtoto.
3. Japo sugu nae anaweza kuwa na matatizo yake, lakini angalau ameonesha kuwa yuko concerned na welfare ya mtoto, kitu ambacho faiza hajafanya. Mfano anaposema sugu hatoi matunzo, kwanini hakuwahi kumshitaki?
Kwa hiyo mh shy rose alifumuliwa marinda na sugu?
hii sio sababu ya kufanya mtu asipewe custody ya mtoto kutoka kwa mama hovyo kama yule.
huyu dada mambo anayozidi kuyaongea ndio jamii inazidi kumuona ni punguani na hana maana yoyote.
Bob marley alikuwa mvuta bangi mzuri na mkewe lakini waliwalea watoto wao kwa maadili ya kule na kuwawezesha kufanikiwa.
sijaleta kama bushlawyer,nimependa jinsi sugu alivyochanwa,jitu limejaa dharau,majigambo,ufedhuli,majidai,ufukungu etc,anataka custody ya mtoto,sijui atakua anatembea nae mgongoni ama atatafuta mtu wa kumlea,na sijui mahakama imedetermine vipi huyo atakaemlea mtoto anafaa zaidi ya mamake mtoto.
Hayo mavazi anavaa Jukwaani akiwa kwenye shughuli zake au hata akiwa nyumbani? Na Jose hakuliona hilo mwanzoni mpaka alipodaiwa kodi ya nyumba? Hata niachane na mke wangu siwezi mpeleka akaishi na Mama wa kambo. Hata mama wa kambo awe na huruma kiasi gani. Labda akalelewe na bibi zake.
Kesi zikichewa tunalia zikiwahi tumetoa rushwa! Watanzania naninkatuloga?
Hembu fikilia tabia na mavazi ya huyo mzazi mwenzie Sugu kweli yanafaa kuwa mlezi wa huyo mtoto?
Imagine ingekuwa hiyo ndio tabia ya Sugu je Mzazi mwenzie angelimuachia aendelee na malezi ya huyo mtoto?
Tumezidi kulialia aisee!
Pamoja na sifa ulozompatia huyo baba wa mtoto....Je zinampa nafasi ya mama mtoto kuishi na kulea mtoto kwa namna hiyo?Mkuu naomba tupishane.Siwezi kumtetea huyo immature mama.Adhabu hii iwe funzo kwa wengine wanaopewa kiburi wakisikia kuwa ni "lazima" wawatunze watoto hadi wafikishe miaka saba.
tatizo inaonekana ni huyo mwanamke jinsi anavyovaa,hasa akiwa katika mitoko yake,nae kadai kama tatizo ni mavazi atajirekebisha,which means kulikua na possibility ya out of court settlement,
mwanadada angeanza kuvaa sketi ndefu na sugu angetake responsbility ya child support.
problem solved.
Nishaona humu ndani mpo wengi wa Dizain Hii, we unaona njia bora ya wazazi kutatua matatizo yao kuhusu mtoto ni kushitakiana????
Mi ninachoona Sugu kamkomoa mwenzake Ila sidhani kama anamapenz ya dhati kwa mtoto...
Angalia hapo kuna sehem Faiza anasema kashatoa 3 za mheshimiwa hii akagoma kutoa unajenga picha gani?
Tena mtoto wa kike kwenda kwa baba kwa umri ule!!!!
Too late to cry for her.Ila mkatieni rufaa mkuuππ
Nishaona humu ndani mpo wengi wa Dizain Hii, we unaona njia bora ya wazazi kutatua matatizo yao kuhusu mtoto ni kushitakiana????
Mi ninachoona Sugu kamkomoa mwenzake Ila sidhani kama anamapenz ya dhati kwa mtoto...
Angalia hapo kuna sehem Faiza anasema kashatoa 3 za mheshimiwa hii akagoma kutoa unajenga picha gani?
Tena mtoto wa kike kwenda kwa baba kwa umri ule!!!!