Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.

Vipi wewe? mama'ko alikuokota jalalani?

Kama inavyokuuma wewe kutajiwa mama'ko ukumbuke na sisi ni mama za wengine.
 
BOra alivyopokonywa mtoto, yule mwanamke hana akili, anataka kumdhalilisha sugu, niliwahi kumsikia kwenye interview ya zamaradi yani hamna kitu, akili hana kbisa

Bora sugu kachukua mtoto maana mtoto ukua kutokana na malezi ya mazaz yakiwa mabovu na mtoto uishia pabaya
 
Ishu hapa siyo mavazi... Faiza alipewa muda wa kujitetea?

Kwani hakupewa muda wa kujitetea? Umeshasikia maelezo ya pande zote tatu - yaani upande wa Sugu, upande wa mahakama, na upande wa Faiza?

Au kila ulichokisikia toka upande wa Faiza ndo unakikubali kuwa ndo ukweli, ukweli wote, na ukweli mtupu?

Aliitwa kwa kesi ya madai kufika akakutana na ishu ya kunyang'anywa mtoto hii iko sawa?

Hicho ndicho kweli kilichotokea au hicho ndicho anachosimulia yeye huyo Faiza?

Kwa nini hawakumpa muda?

Umejuaje kuwa hawakumpa muda? Na ulitaka apewe muda kiasi gani?

Sugu ana sifa gani za kuitwa baba?

Faiza ana sifa gani za kuitwa mama? Mama wa wapi ushawhi kumwona anavaa nepi hadharani?

Ikiwa hata hajui mtoto anakula nini na anasoma wapi ameshindwa kumuhudumia mtoto kipindi chote hicho na hiyo mahakama hawakuliona hilo wakakurupuka tu kumnyang'anya faiza mtoto. Kisa kaombwa kuchangia kodi ya nyumba. Lol kanichefua sana huyu sugu.

Yote hayo wewe umeyajuaje? Ushashikia maelezo ya Sugu kuhusu hizo tuhuma?

Ithibati kuwa kweli Sugu hajui mwanae anakula nini na anasoma wapi ziko wapi?
 
Vipi wewe? mama'ko alikuokota jalalani?

Kama inavyokuuma wewe kutajiwa mama'ko ukumbuke na sisi ni mama za wengine.
Hata mimi mwanzo hili jina Faiza limenishtua sana kwani japo sikufahamu sitegemei kama unaweza kufanya vituko anavyofanya huyu Faiza. Ni vizuri kama siyo wewe.
 
Hapa mnajaribu kutetea uozo...sugu angekuwa hatoi hela kwa huyu mtoto asingekuwa hata ana ubavu wakwenda kumchukua kwa mama yake (haswa kwa jinsi anavyoonyesha uwehu)...mara kwa mara sugu awapo dar huwa anashinda na mtoto wake, na kwa taarifa yenu tunayajua yote, sugu kila mwezi anatoa hela za matunzo ya mwanae, na hata bila ratiba hiyo mara nyingi faiza huwa anaomba hela za matumizi yanayojitokeza mfano mtoto anakwenda kwenye birthday za wenzake, n.k.....na kikubwa anayelipa ada ya mtoto ni sugu na yote tunafahamu, sema hawezi kukaa kujibishana na huyu mwanamke kwenye mitandao....ndio maana kwa pilato jibu limepatikana
 
una wasiwasi na mimi kwani we mke wangu?...
talksense man..

Hope unatakiwa kujudge critically kuendana na uzito wa maada,hayo unayosema ya mke wako nadhani sio mhimu sana ila yanazidi kukupunguzia credit ndani ya jukwaa,anyway.
 
Wewe unajua huwa yanapatiwa ufumbuzi ndani ya muda gani kwani?

Na kwani hakimu kafikia maamuzi yake kwa kutumia picha za IG tu?

Hayo ni unayajua au unahisi hisi tu?

Mkumbushe kuwa kesi ya kuzuia mgomo wa walimu miaka kama miwili iliyopita ilifunguliwa siku hiyo hiyo na kusikilizwa na uamuzi kutolewa siku hiyo hiyo saa mbili usiku.
 
Unaongelea sheria iliyorekebishwa. Siku hizi mambo yote kuhusu mtoto yana sheria yake ya mwaka 2009. Law of the Child Act 2008. Cha msingi kwa mujibu wa sheria hiyo inayoakisi mkataba wa kimataifa ni best interest of the child, hivyo kama best interest ni kwa baba basi anapewa alee. Mifano ni mingi na mingine imeshawekwa hapa kwenye uzi huu.
 
kwanza kile ni kitoto kidogo sana kwangu, nnahisi hata mwanangu wa kwanza ni mkubwa kwa yule.

Pili, hana vigezo.

Kweli usilolijuwa ni usiku wa kiza. Sikulaumu.

khahahahaaaa ..... Nipe vigezo mzee mwenzio nijongee ubavuni marashi mazuri chumbani ,udi tujivukize kizani!
 

Ulikuwepo mahakamani? Unajua maana ya kesi ya madai? Una kichefuchefu basi bugia malimau mia moja. Kateni rufaa pengine mtashinda lakini funzo mmepata. Haiwezekani sugu atoe hela za pampers za mtoto halafu zivaliwe janajike jitu zima.
 
nina wasiwasi na wewe yawezekana ulikuwa kipoozeo cha 2proud!
 

Duh huyu mange mimi huwa simpatii picha maana hapa kazi ipo.
 
FaizaFoxy ebu ongea na 'wajina nusu' wako ajirekebishe arejeshewe mtoto. Nadhani unaweza kuifanya hiyo kazi kwa nia njema kabisa.
 
In the future, mtoto atakuwa judged kulingana na mavazi ya mama yake. Wengi hawajaliona hili, wenzake watakuwa wanamtania na kudhalilika kutokana na wavazi ya mama yake. Imagine, akiwa mkubwa anakutana na picha za mama yake kavaa pampers, sidhani kama huyo mtoto atakuwa akifurahi kuziona.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…