FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Faiza bwana, wewe neno mama yako naona rahisi sana kulitamka. Ukitukana siku zote huwa ni mama yako, mfano mbaya kwako ni mama yako, kila jambo hasi unalotaka kumjibu mwana JF aliyekukera wewe ni mama yako. Una tatizo gani wewe? Au mama yako alikutupa jalalani au kukutelekeza nini ulipozaliwa, hivyo kukufanya uwe na issue za kisaikolojia na mama za wengine?
Vipi wewe? mama'ko alikuokota jalalani?
Kama inavyokuuma wewe kutajiwa mama'ko ukumbuke na sisi ni mama za wengine.