Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Huyu Faiza kwa mavazi yale ni bora Sugu chukua mtoto, ni nini mtoto anajifunza kutoka kwa mama yake kama sio tabia mbaya tu? tunatengeneza taifa la watu wasiokosa maadili kwa style hii ya faiza

niambie kuna huhusiano gani kati mavazi na malezi ya mtoto?,we si ni mwanamke basi mwenzio akinyolewa na wewe tia maji
 
Wapumbavu pekee ndio wanaoweza kumtetea Faiza.
 
@kichunahicho huo upumbavu wenu jadilini hukohuko kwenye blog ya makahaba na instagram.. shwaini wewe

Ona aibu, ushahidi wa picha za Faidha wameutoa huko huko instagram. Hivyo hata wewe kujadili mambo ya instagram unakua baba wa mashwain. Umejuaje kama ni blog ya makahaba, kama siyo mnunuzi basi wewe ni baba la makahaba.
 
Hii "nguchiro" ninahamu sana ije ijae kwenye 18 zangu. Lazima uandike kitabu kizima siku hiyo, yani hata inachotetea hakionekani zaidi ya kurukaruka kama sindano ya chereani.

Uandikwe kule kwa umaarufu wako wa kandambili mwisho wake mlango wa bafuni au? Kule wanaandikwa watu maarufu na mashuhuri. Kati ya mimi niliyecopy na kupest hapa na wewe kuquote comment ndefu hivyo nani anastahili kuwa nguchiro? Kila siku mnakatazwa kuquote maelezo mengi lakini vichwa vigumu kama panzi wala hamuelewi.
 
Wamekutana sugu kichaa mvuta bangi, sugu huyu si aliunda kundi wakatoa nyimbo za matusi ile vita yake binafsi na clouds ,
 
Sheria zingine zingo gender biased tu

Pole faiza

Weka mfano wa sheria iliyo "gender bias" kwenye muktadha huu na kwa nini iko hivyo?

Cc mwallu

Kaka
 
Last edited by a moderator:
nimesoma para chache ila kwa kipindi kifupi nimetambua upumbavu wa wanaomshambulia SUGU ?anamsimamia mtt PERIOOD

msichukue sides jamani..maswali machache tu ya kujiuliza, Sugu anawatoto wangapi?wako wapi? wameishije? Sugu ana mke mwingne? Nani atamlea mtoto asipokuwepo? Alikuwa akitoa maintainance kwa ajili ya huyo mtoto? ... lazima aonyeshe kwamba yeye ni responsible na huyo mtoto yuko pema mikononi mwake... Mahakama ikimpa mtoto bibi mtu ni bora kuliko wazazi wote wawili
 

Haa haaaa haaaa mkuu unamfundisha akaseme uongo mahakamani???
 

Mkuu umesahahu ulichotaka kuandika au makusudi tu???
 
Haya Sugu amezungumzia hilo swala bungeni tena baada ya kumsikikiza mimi binafsi nimemuelewa, licha ya kupewa haki ya kuchukua mtoto bado hajafanya hivyo na mtoto yuko kwa mama yake akitegemea pia wakae zaidi na kuangalia jinsi ya kufanya, kwa wale tunaosikiliza upande mmoja na kutoa hukumu si vizuri kufanya hivyo kwakuwa siku zote mtu huegemea upande wake ni vizuri tukiwa na subira, mengine zaid watajuana wakiwa wawili
 
ukiongelea vazi tu mkuu naona hapana.... kuna watu wanavaa vizuri lakini hawana ulezi bora kwa watoto wao.... kwa kuangalia mavazi hukumu haijatenda haki... kuna kahali fulani cha kukomoana kipo
Halafu kwanza sugu karibia atavuta mkwanja mrefu...230ml. Faiza komaa nawe upate kamgao hapo!
 
Huko ustawi wa jamii abebe na hizo picha waone ni jamii gani anataka kuistawisha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…