Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Kama utaona maamuzi ya mahakama si sahihi basi inabidi utueleza ikiwa utakuawa confortable umpe mwanao akulelee. Nilishangaa aliposema ati ilichanika kwa bahati mbaya. Kuna dalili ya kuchanika hiyo nguo hapo kweli?
 
Achana na mambo ya SUGU na huyo Faiza wake. Hayo mambo ni ya huko kwenye magazeti ya Udaku hayana tija kwa mustakabali wa Taifa la Tanzania na siasa kwa ujumla. Kama alivyosema SUGU mwenyewe ni mambo binafsi wayamalize huko nakuomba mtoa mada usicheze na ngoma ya CCM haina tija kwa wananchi. Upotofu wa maadili ya SUGU na Faiza tuwaachie wenyewe. Na hili liwe funzo kwa wanaume wote kukimbilia kuoa Wanamitindo, wasanii au masister du madhara yake ndio hayo. Hao sio Wife material.
 
kuna aina nyingi za mahakama;

kuna family court
; ili suala ni lakuhukumiwa na hakimu wa mahakama ya ardhi; ulitegemea nn

angalia kipindi cha
penny - family court.

Acha ubavicha hapa
 

Mkuu unamaana mahakama ilikosea ktk maamuzi yake? hata hivyo rufaa iko wazi, msaidieni huyo mama kama mnaona ameonewa
 
Sina mengi ya kusema ila someni hicho alichoandika
 

Attachments

  • 1435777338169.jpg
    48.5 KB · Views: 3,745
😕😕ameshajaribu kumfi.a au alikuwa anamfir....habari nyingine za kujivua nguo hizi
 
Sina mengi ya kusema ila someni hicho alichoandika

kuachwa kubaya...japo wadada hujisifia kwamba wako independent...hata jide alipopigwa chini na gadna alianza mabango,ila huyu faiza ana tatizo la akili na labda anatumia hata madawa ya kulevya kupunguza stress..AU anatumika na wanasiasa wa mbeya kumwangusha sugu kwenye ubunge
 
Haya hayaaa wala tigo, mlango upo wazi huko mtu keshatoa marinda. Dada huyu hasara, hamuaibishi mwenzake bali ni yeye mwenyewe.

Mapenzi hatari, wana haki ma ex wa Chibu kugawa kwa nanihii angalau waondoe stress.
 
Hivi socialites na celebrities wote huwa wanawaomba tigo wapenzi wao? Gardner, Mbasha...
 
Aisee...
Nani mkweli nani mwongo.
Bora alilishinda hilo jaribio la kufir...
Kwa tabia ile itakuwa alimnyima tu mheshimiwa buanaa
 
Alipata mimba kwa kuf***? Inawezekana? Huyu dada si mzima, ni halali asimlee mtoto. Ukichambua maneno yake utagundua tu katunga kadiri awezavyo ilimradi yawe machafu, Mods plz

Hata mariam alimzaa yesu bila yusuf
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…