Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Alafu kuna watu wanamtetea kwa upuuzi huo.
I wonder!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu kuna watu wanamtetea kwa upuuzi huo.
Yes boss 100 100yaani baadhi ya wanawake acha kabisa anatumia mtoto kama ndiyo kigezo cha kujipatia kipato baada ya kufanya ujinga kuna kitu nimejifunza hapa nitafanya hivyo hivyo.
Kama kwa macho yetu tumeshuhudia jinsi alivyo jee vipi anapokuwa kwenye mambo ambayo hatuyaoni kama unavyosema wewe? umeshindwa kujenga hoja yako,tatizo la watanzania ni kuigiza mambo ya wazungu? huwezi kuvaa chupi mbele ya watu eti kwa ajili ya mtindo tu, huo ni ujinga kabisa,zamani dada zetu,mama zetu hawakuwa na nguo hivyo walilazimika kujifunga kiunoni na kwenye sehemu ya matiti ili angalau kujisitili, baadaye tukapata mavazi,sasa hawa wanaoturudisha huko kwenye primitive era wana maana gani kama si upumbavu tu? kuna mambo mengi taifa hili linahitaji wavumbuzi ili tusonge mbele ki uchumi na si kuvumbua mitindo ya kukaa uchi jamani.
Hili nalo neno
Ukutane na mtu club akiwa kavaa upaja nje azae nae halafu ategemee apige madera????
nadhani mmesahau kuwa kuna siku aliandika ajafanywa siku nyingi, huyo bint anamatukio ya kishetaniukiongelea vazi tu mkuu naona hapana.... kuna watu wanavaa vizuri lakini hawana ulezi bora kwa watoto wao.... kwa kuangalia mavazi hukumu haijatenda haki... kuna kahali fulani cha kukomoana kipo
Aisee mbungu ana lisimu likubwa hivyo.
mahakama imefanya uchunguzi kuthibitisha hilo au hicho kivazi tu ndiyo kimekuwa go ahead.... something haipo sawa
Mie ni muumini wa kutetea kuhusu mahusiano ya mavazi na tabia ya mtu, lakini kwa huyu bidada na pamba zake hata kama ni mama bora inakuwa ngumu kuamini kama anatekeleza majukumu yake vizuri (ukitaka kuhoji vizuri embu fanya assumtion huyo alikuwa mke wa kaka yako au mwanao uone kama itakuwa sawa)
Hapo kwenye kipato si angemuwezesha mama wa mtoto ili awe na uwezo wa kumlea binti....
Ila inauma aiseee kunyanganya mtoto... Hata kama fyuzi zilikata lazima zijiunge fasta.. Namuonea huruma tu
Perception creates reality na first impression last conclusion huyo binti atamsumbua sana mshkaji kwakuwa ni atention seeker...sugu naye ni atention seeker lakini hapa kagonga mwamba
Hapo kwenye kipato si angemuwezesha mama wa mtoto ili awe na uwezo wa kumlea binti....
Ila inauma aiseee kunyanganya mtoto... Hata kama fyuzi zilikata lazima zijiunge fasta.. Namuonea huruma tu
* Ishu sio mavazi tu...grounds za Sugu zilikuwa nne:
* Kuvaa mavazi ya nusu utupu, kupiga picha za nusu uchi na kuyatupia mtandaoni...
* Kumpiga mtoto picha mbaya ya kuyatupia humohumo mtandaoni...
* Kusafiri mda mrefu na kuwa mbali na mtoto...
* Kutokuwa na kipato cha kuweza kumlea mtoto...
mahakama imefanya uchunguzi kuthibitisha hilo au hicho kivazi tu ndiyo kimekuwa go ahead.... something haipo sawa
Basi kama kajikatia na tamaa ni afadhali kwanza anyang'anywe hiyo custody ya mtoto ili aweze kwenda kutafuta msaada wa matatizo yake [pengine ana matatizo ya kiakili]na baada ya hapo afanyiwe tathmini kama karudi kwenye hali ya kawaida ili kuangalia uwezekano wa kurudisha tena haki yake ya uangalizi na ulezi wa mtoto.
Kwa sasa, kulingana na matendo yake kiujumla kama ilivyoonwa na mahakama, hafai kuwa mlezi na mwangalizi wa huyo mtoto.
Hafai kabisa.