Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Kweli japo ni chini ya umri lakini ni bora kuliko kuacha aharibiwe na mtu asiejitambua anawezaje kutambua mtoto maana huyo mama anaonekana wazi kutojitambua
 

Alikuwa rafiki yangu facebook, nikashindwa kumvumilia anayo yaonyesha hivyo nikamdelete kabisaa!
 
ukiona wanawake wanaotetea huu ujinga ulikuwa unafanyika huyu Faiza basi ujue hata hao wana tabia mbaya kama huyo mwanamke .Mwanamke una mtoto wa kike halafu unakuwa na tabia kama hizi za Faiza unategemea mtoto wako atakuja kuwa na tabia gani. miss chagga mtani wangu uko poa .
 
Hapa walikutana sugu bangi mke bangi zaidi kwahiyo ni mchanga na ulezi.
 
ukiongelea vazi tu mkuu naona hapana.... kuna watu wanavaa vizuri lakini hawana ulezi bora kwa watoto wao.... kwa kuangalia mavazi hukumu haijatenda haki... kuna kahali fulani cha kukomoana kipo
nadhani mmesahau kuwa kuna siku aliandika ajafanywa siku nyingi, huyo bint anamatukio ya kishetani
 
mahakama imefanya uchunguzi kuthibitisha hilo au hicho kivazi tu ndiyo kimekuwa go ahead.... something haipo sawa

Mie ni muumini wa kutetea kuhusu mahusiano ya mavazi na tabia ya mtu, lakini kwa huyu bidada na pamba zake hata kama ni mama bora inakuwa ngumu kuamini kama anatekeleza majukumu yake vizuri (ukitaka kuhoji vizuri embu fanya assumtion huyo alikuwa mke wa kaka yako au mwanao uone kama itakuwa sawa)
 

Perception creates reality na first impression last conclusion huyo binti atamsumbua sana mshkaji kwakuwa ni atention seeker...sugu naye ni atention seeker lakini hapa kagonga mwamba
 
Wajina wake FaizaFoxy atulie tu Sugu alee mtoto hata Mie siwezi kukubali mtu Kama Faiza alee mtoto.
 
Hapo kwenye kipato si angemuwezesha mama wa mtoto ili awe na uwezo wa kumlea binti....

Ila inauma aiseee kunyanganya mtoto... Hata kama fyuzi zilikata lazima zijiunge fasta.. Namuonea huruma tu

Kwenye mahusiano mkikorogana anaeangaliwa ni mtoto na hata ukienda kushitaki utaambiwa ulete hesabu za matumizi ya mtoto huku wewe mzaa chema ukitakiwa uwe una kwako hivyo kipato kitakacholetwa na baba mtoto ni cha mtoto
 
Perception creates reality na first impression last conclusion huyo binti atamsumbua sana mshkaji kwakuwa ni atention seeker...sugu naye ni atention seeker lakini hapa kagonga mwamba

Mjini kuna mambo yaani mtu anapenda kuwa attrmtion seeker alafu mwisho wa siku hana address anategemewa kulipiwa kodi
 
Hapo kwenye kipato si angemuwezesha mama wa mtoto ili awe na uwezo wa kumlea binti....

Ila inauma aiseee kunyanganya mtoto... Hata kama fyuzi zilikata lazima zijiunge fasta.. Namuonea huruma tu

* Unamuonea huruma? Anadeserve...

* Huyo mdada mwenyewe inaonekana ni mcharuko ndio maana Sugu alikataa kumlipia hata kodi ya nyumba...
 

Aisee bora kamchukua!!
Kwa SBB hizi mtt angekuwa malay*
 
Mbaya zaidi hata mtoto akikuwa mtu mzima atakuja kufahamu tu sababu ya yeye kulelewa na baba ni mahakama ndiyo iliyomnasua kutoka kwenye malezi mabaya ya mamake,sijui atakuja kumchukuliaje mama yake aisee
 
Kweli kabisa mkuu!janajike halijiheshi hata kidogo cjui limekula maharage ya wapi lileee!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…