johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watu wasisahau kwamba uhujumu-uchumi ni mtandao mpana sana. Usikute hao hao eitiisiiel wamepewa maagizo kutoka juu wazingue zingue hivyo ili ionekane tu kwamba kazi imewashinda, wenyewe wapate upenyo na nguvu za kuimba ngonjera za ubinafsishaji. Dah!Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.
Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
=====
View attachment 2648788
Basi hapo serikali ndiyo ibinafsishwe ili tujue moja. Afadhali tutawaliwe na serikali ya Urusi au China.Kuna mwamba mmoja humu amelichambua vizuri tuu, kwamba sekta zote za serikali zi binafsishwe kwa sababu serikali imeshindwa kufanya mambo kwa usahihi
Ni ukweli tumeshinda kuendesha serikali, watu wanaiba alafu mama mwenye nyumba ana watazama tuuBasi hapo serikali ndiyo ibinafsishwe ili tujue moja. Afadhali tutawaliwe na serikali ya Urusi au China.
Historia 10 Mlango wa pili: ^Na ndipo Juliasi akamgeukia Mkapa, akamwambia: Kijana wangu, kwa mwendo huu wa ubinafsishaji unaoufanya, tunaweza kuamka asubuhi tukakuta umebinafsisha hadi jeshi letu!^Hata uwanja wa Benjamin Mkapa nao wapewe ili umeme usiwe unatuharibia
Ndiyo maana yake kama mliuziana mpaka nyumba za umma mnaweza kujisimamia nn? Labda wizi wa kura, uongo, ulaghai na uzushiMaana yake watanzania hawana uwezo kabisa wa kujisimamia
Sio mtanzania tu... mwafrika hawezi kujitawala.Maana yake watanzania hawana uwezo kabisa wa kujisimamia
Urasimu ni Kila sehemu hapa Tanzania na Kwa taarifa Yako wenye vyeo wananufaika sana na huu upuuzi..Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.
Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
=====
View attachment 2648788
Sasa kama.wamepata kazi baada ya kusotea wataachaje kumpongeza?Kilichonisikitisha zaidi ni vijana huko Tabora kufanya mbio za baiskeli kumpongeza na kumuunga mkono Rais SSH kuelekeza 2025.