Sugu ataka ATCL nayo ibinafsishwe Dubai kwani imeshindwa kutoa Huduma

Sugu ataka ATCL nayo ibinafsishwe Dubai kwani imeshindwa kutoa Huduma

Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.

Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

=====

View attachment 2648788
🤣🤣🤣🤣 kama naziona vile fly dubai zinavyopishana hapo JNIA
 
Ikiwezekana serikali yote ibinafsishwe, tuongeze ufanisi😁
 
Wakishaichukua hyo ATCL waende Mbeya wakaichukue na Desderia Hotel.
 
Ndege imekua kama mwendokasi kusubiria abiria wajae kituoni ndio safari ianze [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom