Sugu atangaza rasmi kumsapoti Jide Ijumaa

Sugu atangaza rasmi kumsapoti Jide Ijumaa

Mkuu hiyo kitu zingekuwa zinapatikana kama vocha mbona ingekuwa balaa mi ningeanzia wafu fm!...

Kweli mtu mweusi haaminiki, F.A alikuwa mpambe wakati JD na GADNER wanafunga ndoa, kumbe hakuwa na upendo nao kabisa na sasa anatuonyesha kwamba yeye ni mtu wa aina gani kwa ndani. Nakuchukia mwanafatuma kichiz yan; na ushukuru bongo ndio vile wengine GUN hatujui kwa kuzipata NINGEKUSHUT tu bitch wewe; sipendi kabisa wanaume wenye pigo za KICHOKOCHOKO, unaudhalilisha ule mkoa wenu, watu watajua kweli TANGA kwa kuliwa KISAMVU ndia zenu!!
 
Sijui kwanini wasihamishie uwanja wa Taifa!..

Sugu kwa hili hajatenda haki, pale nyumbani lounge hapatoshi sehemu ni ndogo sana, mimi nina hamu ya kwenda kuona wakiimba na Jide ile nyimbo ya mambo ya Fedha.
 
Duuuh cant wait to hear the ...BoNGooooo eeeh bongo DAr EsSalaaam...utalialia lia liaaa ndani ya DAR ES salaaaam..kaa chonjoo eeeh ....sugu ft jaydee...enzi hizoo
 
Back
Top Bottom