buyegirhyme
Member
- Oct 6, 2010
- 9
- 1
kwahiyo sugu ni chadema au sugu ni member wa chadema?????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook
kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.
Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"
so please if that is true then msiondoe hii thread.
Nilikwishasema Mbeya mjini hatuna mbunge kwa miaka mitano hadi 2015. Inabidi tuwe wapole kwani tuliamua wenyewe kumuweka huyu hayawani.
rudisha tu kama hiyo ndio sababuAlichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook
kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.
Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"
so please if that is true then msiondoe hii thread.