...Clouds pamoja na mabaya yote sugu aliyoeleza juu yao lakini bado wanafanya kazi nzuri ya kuwapa changamoto wasanii watunge nyimbo nzuri ili zipigwe kwenye radio yao! na kusema ukweli wasanii wengi tu wamekuwa wanajitahidi kufanya hivyo ili watoe nyimbo nzuri. Lakini utakuta wakongwe wa muziki kama sugu, afande sele, danni msimamo, g solo, mkoloni wamekuwa wakiijifanya wanajua sana mziki na matokeo yake ngoma zao zimekuwa hazikubaliki na ndiyo maana zimekuwa hazipigwi clouds. Sasa hii ni hasira wanayotaka kuleta ili kuikomoa clouds lakini sidhani kama itasaidia lolote.