zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Duh.......
1. Unacompare jinsi anavyo takiwa kubehave mbunge na jinsi wanavyo behave comedians? Au unataka kusema Sugu ni mchekeshaji? Kama ni hivyo sawa.
2. Kwa hiyo lugha ikitumiwa na Ze Comedy basi imehalalishwa kutumika na kila mtu? SMH! I'm dumbfounded by your analysis.
nyie ndo mnaosababisha wabunge waitwe waheshimiwa na waonekane km miungu watu kwenye jamii kwa sababu ya huu use..nge wa kuwa na nidhamu ya woga, acheni izo bwana, waoneni km watu wa kawaida ili wasipitishe misheria yao mibovu yakujilipa masurufu kibao.