Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook


Una uhakika na ulichokiandika?!?
 
Nilikwishasema Mbeya mjini hatuna mbunge kwa miaka mitano hadi 2015. Inabidi tuwe wapole kwani tuliamua wenyewe kumuweka huyu hayawani.
 
Kwenye RED???????Unauhakika????
Nilikwishasema Mbeya mjini hatuna mbunge kwa miaka mitano hadi 2015. Inabidi tuwe wapole kwani tuliamua wenyewe kumuweka huyu hayawani.
 
rudisha tu kama hiyo ndio sababu

Kaongea ki-hiphop... sasa jiulize wale wanavidandia vitoto vyetu vya UDOM tena wana miaka 60 matumbo kama simtank na wana wajukuu.... tena hapo sijazungumzia mamvi

I saw it pale club 84, wengine tunawaheshimu sana na wengine ni mawaziri.... I would rather take sugu's artistic message to his fellow artiste that mizee inayogegedua watoto wangu
 
Hukumu bila kuturidhisha chanzo halisi ni kubebana kijinga, iwapo mmemlisha maneno inakuwaje. Sitetei wala siungii mkono nyote ni dhaifu rudini kwenye faccebook mkamalizane msije huku kutafuta huruma ya great thinkers. Ukiona mkeo/ mmeo umemchapa kibao baada ya yeye kukupiga konzi kisha katoka nje kulalamika ujue si wa kwako huyo.
 
Huyu Sugu nilikuwa namsikiliza Bungeni, ameboa kabisaa, hata namna ya kuchangia hoja anaifanya kijinga jinga, ama kweli kama wabunge ndio hawa, upinzani umekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…