Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Mimi si mwanachama/mpenzi wa CHADEMA lakini ni mdau wa muziki na katika hili la kutetea maslahi ya wasanii(hasa wanamuziki) nipo pamoja na SUGU na naunga mkono harakati zake za kuwakomboa wansanii kwa 100%.......Ruge na genge lake ni mafia kwa wasanii,hawafai hata kidogo......Wanatajirika(wanafungua radio stations,TV station na miradi mingi tu) kwa jasho la wasanii na kuwaacha wasanii wakiishi kimaskinini na kuendelea kuwa hohehahe.......
Hata hivyo, Sugu hakupaswa kutumia maneno kama wa.senge na mutha.fakaz ambayo yanaonekana kama matusi(kwa jamii) hivyo kuwafanya wanajamii(wananchi) wamuone kama anapotoka kutokana nafasi yake ya kuwa muwakilishi wa wananchi bungeni(mbunge)....
Hakukuwepo haja ya Sugu kuyatumia maneno hayo........Tamasha la Burudani ni nyumbani lilikuwa ni funzo tosha kwa Ruge Mutahaba & Co