Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

Mimi si mwanachama/mpenzi wa CHADEMA lakini ni mdau wa muziki na katika hili la kutetea maslahi ya wasanii(hasa wanamuziki) nipo pamoja na SUGU na naunga mkono harakati zake za kuwakomboa wansanii kwa 100%.......Ruge na genge lake ni mafia kwa wasanii,hawafai hata kidogo......Wanatajirika(wanafungua radio stations,TV station na miradi mingi tu) kwa jasho la wasanii na kuwaacha wasanii wakiishi kimaskinini na kuendelea kuwa hohehahe.......

Hata hivyo, Sugu hakupaswa kutumia maneno kama wa.senge na mutha.fakaz ambayo yanaonekana kama matusi(kwa jamii) hivyo kuwafanya wanajamii(wananchi) wamuone kama anapotoka kutokana nafasi yake ya kuwa muwakilishi wa wananchi bungeni(mbunge)....

Hakukuwepo haja ya Sugu kuyatumia maneno hayo........Tamasha la Burudani ni nyumbani lilikuwa ni funzo tosha kwa Ruge Mutahaba & Co
 

Shida ni utumiaji wa matusi. Kwa hiyo unataka kusema wabunge wa nchi zingine wanatumia maneno kama hayo? Acheni ushabiki wa kishamba. Alichokosea "Sugu" ni matumizi ya matusi sasa kama mnatetea hilo basi wote na huyo mnaemtetea akili zenu sawa. Angekua mtu mwingine katumia matusi mgereact tofauti. Mteteeni tu ile 2015 jamaa out. Juzi kati tu aliropoka mpaka ikabidi aonywe na wazee wa chama.
 

Jombaa unajua Mbunge ni kama mtu mwingine yeyote, Sugu hapo yupo kama Sugu, msanii suala la Ubunge hapo halipo yeye kama sugu na hizo ndizo fikra zake, lakini sugu akiwa kama mbunge atakuwa na fikira kama mbunge. Tabaka/ Uwigo unaouweka utakutesa sana kisaikolojia.
 
Mimi kama mzaliwa wa Mbeya mjini sisemi kama kakosea au hajakosea lakini anatumia juhudi na muda mwingi katika mambo ambayo hayana manufaa kwa waliomchagua abadili vipaumbele.
nahisi u mvivu wa kufikiri!unadhani muziki utaajiri vipi vijana iwapo kuna mijitu iko dar inwafyonza wasanii wetu.
 
Magamba imetufanya watanzania tuwe wanafiki sana na waoga sana na wajinga sana. There is smthn wamepandikiza katika akili zetu kuhusu Bunge, Serikali na Mahakama ambacho kinatuweka utumwani hadi leo, zamani sisi na viongozi tuliitana ndugu leo hii sisi ni ndugu wao waheshimiwa, tafsiri yake wao ni tofauti nasi kimawazo na kimatendo of which it is a lie. Leo hii mbunge wa magamba anaiba taulo hotelini lkn hata wenye hotel wanaogopa kusema hadi mainstream media inagwaya ni upumbavu uliotukuka, waheshimiwa wa magamba wanaita wa upinzani 'kitunguu maji' ndani ya bunge. Hebu GT tuache us.e.nge na sisi hao vichwa vya kuku clauz ni wajinga sana na wanatumia ujinga wa wasanii kujitajirisha kama magamba watawalavyo wajinga nchi hii. Sugu amewah anzisha tabloid yake ya Deiwaka wakahujumu wakaleta kitangoma, taka anzisha studio wakamchakachua. Amka dai haki yako hata kwa upanga, marekana hawez survive bila vita, wot the **** r u? The only cure for grief is action.
 
kama ni w.a.s.e.n.g.e wanapaswa kuitwa hivyo!hakuna haja ya staha hapa!

haiwezekani kwamba siku moja nomino ikaitwa kitenzi....!never on earth.

kanyaga twende sugu!wataisoma tu hao w.a.s.e.n.g.e!kudadadeki
 
nahisi u mvivu wa kufikiri!unadhani muziki utaajiri vipi vijana iwapo kuna mijitu iko dar inwafyonza wasanii wetu.
nadhani wewe ndio mvivu wa kufikiri,kati ya waliomchagua wanamuziki ni wangapi ? na pia mimi sio miongoni mwa waliomlaumu nimetaka tu awe na vipaumbele na kutumia muda mwingi kutatua kero za wana Mbeya.Sitamhukumu ni mapema mno.
 
ebu tueleze hao waliotumia lugha tamu na za kistaarabu kama mnavyoziita kwenye kudai mabadiliko wametufikisha wapi??nafikiri fikra sahihi uwakilishwa kwa lugha sahihi..yan we ulitaka asikemee uovu kwa hofu akifanya ivyo atakosa ubunge 2015?km ubunge wake hautoleta mapinduz bas ata awe nao milele kwetu hauna faida
 

Yani unatala tuanze kudebate whether ni sahihi mtu kutumia maneno kama ******" na "mutha****a"? Are you seriously asking angetumia maneno gani? Watu kama Lissu Bungeni wanatumia lugha ghani? Je Lissu hatetei Watanzania? Je yeye anatumia lugha hiyo? Shida siyo kusemea uovu bali lugha aliyo tumia usitake kuniambia njia sahihi ya kufikisha ujumbe ni matusi. Haya tuambia kumepatikana faida gani kwa yeye kutumia matusi???
 
Viongozi WaTz walitulizoesha maisha ya kinafiki. Kushindwa kuongea, kupindisha maneno, kumbe huo si utamaduni wetu sasa tunashangaa...BTW Fiesta inaisha lini tuanze kuwaza 88?
 
nadhani wewe ndio mvivu wa kufikiri,kati ya waliomchagua wanamuziki ni wangapi ? na pia mimi sio miongoni mwa waliomlaumu nimetaka tu awe na vipaumbele na kutumia muda mwingi kutatua kero za wana Mbeya.Sitamhukumu ni mapema mno.
kati ya wapiga kura wake vijana ni wangapi?ilikuwaje wasiopenda muziki au sanaa wamchague mwanamuziki?Labda unitajie hivyo vipau mbele vya wapiga kura wa mbeya.usiseme KILIMO KWANZA kwa sababu vijana hawalimi tena.acha kufikiria kinafiki ongelea uhalisia
 
umesema akiwa kwenye movie lakini sio kwenye social network...umeshawahi ona akitukana kwenye twitter au facebook?????
kwani tofauti ya kutukana social network na kwenye muvi ni ipi?
 
Sasa kama watu ni WA***GE we ulitaka awaite nani?
Nawashangaa sana watu clouds wameiba sauti ya mtu wakaitumia bila ridhaa ya mwenye sauti huo ndio
usenge anaousema Sugu walitaka waitwenani malaika. Wasanii njaa ndio wangefurahi kusikia lakini mwelevu
hatafurahi hicho ndicho anachokipigania Sugu.
 
wewe unajitambulisha kwa ID ya philosopher king so dont think as gay as a bullfich, wanafalsafa hutafsiri mambo zaidi ya yalivyo, tumia tafsiri pana kuelewa muktadha, dhamira na nani anamwambia na kwa nini. Acha kukurupuka na wewe si Sheikh Yahya kutabiri nani awe mbunge come 2015, kwanza unatumia vigezo gani?
 

Sishangai wewe kumtetea huyo jamaa wako kwa maana wote mnatumia lugha sawa. Endelea kumwaga matusi mpaka nafsi yako iridhike. Si unahamu ya kutukana? Haya quote this also and spit your profanity again I rather enjoy your stupidity because it is entertaining. Ok tuendelee.
 
Mi nilifikiri unazungumzia kero ya umeme ama maji! hebu nenda sokoni kaninunulie vitunguu swaumu na hela inayobaki pitia kwa mama nancy akupe majani ya maboga

 
Sijapata kuona wabunge wahuni kama Sugu na Lema! hata kama upatani na mtu uwezi kuandika matusi hivyo kama vile mvuta bangi, Sugu angekuwa sio mbunge wala hakuna angaelalamika, mbunge kutoa matusi ni ujinga wa hali ya juu
 
Hiyo ndiyo lugha sahihi ya mwizi hakuna lugha ya marashi kwa mwizi, mwizi ni mwizi tu
jinsi kibaka anavovishwa tairi na wao walistahili ila kwa kuwa Sugu kuwastahi akawaambia was....
Ningekushauri badala ya kumlaumu Sugu waambie Clouds next time wasitumie tena sauti za
watu bila ridhaa zao wase....... wakubwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…