Uchaguzi 2020 Sugu: Hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi, CHADEMA inashinda Ubunge Mbeya Mjini

Hii tume ni HURU.
Anayebisha amuulize Sugu huwa anashindaje wakati yeye ni mpinzani?
 
Sugu Ana hofu!Mbeya naifaham vizuri upepo kwa chadema Upo vibaya sidhani Kama atatoboa uchaguzi ujao.
 
Kama muarobaini wa kuibiwa kura unapatikana Mbeya,kwa nini wapinzani wasiutumie na kwa majimbo mengine?
 
Nasikia kimeumana Mbeya, Sugu nje inabidi arudi mtaani kwenye hip hop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…