Uchaguzi 2020 Sugu: Hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi, CHADEMA inashinda Ubunge Mbeya Mjini

Msigwa ana nafasi ya kubaki sababu ya mpìnzani aliyepewa.
Screenshot_20201029_144300_com.twitter.android.jpg
 
Wahenga walisema ni bora kujenga tabia ya kuweka akiba ya maneno!
Kuna jamaa anajiita Loard ...
Nilimwambia asiweke moyo wake wote kwenye matamanio yake ya LISSU kushinda ataumia vibaya mambo yakija vibaya.
 
I said it, leo yametokea!!
yes bro.. kuna mtu ananiambia alkua kwnye semina dar ya ccm..u cant belive kwmba yalokua yanatokea kipnd cha kupiga kura yalikwsha pangwa.. mikakat ya mawakala wa vyama vingine vikubwa kucheleweshewa kupewa form ilkua moja ya mkakati na tukubali tukatae hv vyama vidogodogo vimenunuliwa na ccm watu walienda kama vivuli tu... kuna post moja nlisema mi sijisumbui nika been crushed... i saw this my vote wont change anythng nlikwsha jua manipulation itakuepo... ni vyema nifanye yanayo nihusu niingize ugal tuh
 
Ingekuwa CCM wameiba kura kama miaka ya nyuma ni kweli Sugu angeshinda ila tatizo awamu hii CCM wamelawiti uchaguzi badala ya kuiba kura
 
Najitolea kuinunua hotel ya desderia, nasikia anaiuza
 
yes bro.. kuna mtu ananiambia alkua kwnye semina dar ya ccm..u cant belive kwmba yalokua yanatokea kipnd cha kupiga kura yalikwsha pangwa.. mikakat ya mawakala wa vyama vingine vikubwa kucheleweshewa kupewa form ilkua moja ya mkakati na tukubali tukatae hv vyama vidogodogo vimenunuliwa na ccm watu walienda kama vivuli tu... kuna post moja nlisema mi sijisumbui nika been crushed... i saw this my vote wont change anythng nlikwsha jua manipulation itakuepo... ni vyema nifanye yanayo nihusu niingize ugal tuh
True, na ili kuleta mabadiliko ni lazima kubadili sheria inayoruhusu hayo kutokea. Otherwise they'll always be a legal ground to manipulate elections.
 
Back
Top Bottom