Sugu hazuiliki Mbeya mjini

Sugu hazuiliki Mbeya mjini

Mtu wa Asali

Senior Member
Joined
May 9, 2022
Posts
152
Reaction score
292
Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge.

Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia Trust sijui ni mikopo ya Dkt. Tulia hii nao wapo hapo na Sugu wakimgongea tano.

Huyu bwana anapendwa sana Mbeya mjini inavyoonekana.
 
Tulia Trust sijui ni mikopo
drakelaugh (1).png
 
Wananchi wanamatumaini sana na CHADEMA


Wananchi wanapeleka malalamiko yao kwa CHADEMA kwa kuwa wana imani nayo kuliko upande ule wa pili .

Ripoti ya Hali ya kisiasa Mbeya yawekwa wazi mbele ya kikao kazi cha ndani cha CHADEMA, mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA asema mizuka bado ipo hivyo kazi inakwenda kwa kasi kusikiliza kero za wananchi na kujipanda kisiasa.
 
Kwakua jiwe hayupo sugu mbunge mtalajiwa mbeya mjini vi maaluum cheichei
 
Back
Top Bottom