Sugu hazuiliki Mbeya mjini

Sugu hazuiliki Mbeya mjini

Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge.

Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia Trust sijui ni mikopo ya Dkt. Tulia hii nao wapo hapo na Sugu wakimgongea tano.

Huyu bwana anapendwa sana Mbeya mjini inavyoonekana.
Yule ajuza na sura yake mbaya kama roho yake lazima aingie MP
 
Vijana wamfikishia ujumbe Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a SUGU juu ya Hali ngumu sana ya maisha


Tatizo CHADEMA mnahangaika na walevi, wavuta bangi, ugoro, gongo, madawa ya kulevya alafu wote hao ukiuliza wana piga kura, utakuta hakuna, jamani mkienda kuongea na wapiga kura hakikisheni mnaongea na wananchi wenye kuelewa maana ya kura ni nini.

Sasa hawa wavuta bangi watampigia kura Mr. Sugu kivipi, sbb hawajiandikishi kabisa kupiga kura, akishindwa anakimbilia kusema kaibiwa kura.
 
Back
Top Bottom