Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

Usirudie kumuweka Diamond level za awa wanaojitafuta uzeeni.

Escalade moja ya Diamond inajenga hotel mbili kama hiyo inayomuweka Sugu mjini.
 
Amesema;

"Msanii wa kwanza kua milionea"

Wakati Sugu ana anza kuimba huyo Diamond alikua ni kitoto kidogo tu kama alikua kisha zaliwa,

Muwe mnajifunza kuelewa jambo kabla ya kuchangia.
Nmeikumbuka ile show aliimba pale Mnazi mmoja, aliimba track yake ya ni wapi tunakwenda, watoto wadogo humu kizazi cha wavaa Helen puani wavaa kikuku mguuni hawawezi kuelewa

Watu huu mziki wameupigania sana

Ova
 
Sugu mshamba asili yake ...hii sio mara ya kwanza na anfanya vile kumrusha roho ex wake ,, alianza mara sijui pesa inaleta furaha mara sijui yeye ndo mwanzilishi wa bongo fleva in short mshamba na hakuwai na swagga za maana kuvaa hajui japo ana pesa umri ushamtupa angeacha wakina kondeboy mambo hayo.
 
Mwana-Fa au Ay Wana mzigo gani? Wa kawaida Sana wale, labda diamond platnum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…