Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

Wait a minute! mnazungumzia u bilionea wa TSh 1,000,000,000 au USD 1,000,000,000 ?
 
Kama wewe ni demu uko sahihi ,ila kama ni dume nikupe pole tu.
 
Huku nje akipiga mishe zake na bungeni akipiga mishe za bungeni hujui kwamba ubilionea unaongezeka au bungeni unazoa taka nakuchafuka hakuna kitu alichopata?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Bilionea hawezi kulilia kwenda bungeni kusubiri milion 12 kwa mwenzi....

Si umeona Rostam azizi na Mo walipiga chini ubunge ?
 
Una akili mgando sana Shabiby na abood bungeni wamefuata nn
Bilionea hawezi kulilia kwenda bungeni kusubiri milion 12 kwa mwenzi....

Si umeona Rostam azizi na Mo walipiga chini ubunge ?

Hao wakina shibiby na aboud wazee wa dili tu wapo bungeni kimaslahi tatizo hao watu hawajui vizuri.
 
Kwenye harakat za HIpHop kudanganya ni mwiko, mchiz ni mwanaharakati #he lives in hiphop.....I biliv it the raeal OG
 
Bilionea hawezi kulilia kwenda bungeni kusubiri milion 12 kwa mwenzi....

Si umeona Rostam azizi na Mo walipiga chini ubunge ?

Hao wakina shibiby na aboud wazee wa dili tu wapo bungeni kimaslahi tatizo hao watu hawajui vizuri.
Bungeni mabilionea hawaendi kutafuta mishahara na marupurupu. Wanaenda kufanya lobbying na kutafuta political mileage ili wawe na ulinzi kwenye biashara zao kusudi wakifanya figisu iwe rahisi kuchomoka, wapate tenda za serikali, wapendelewe na wawe na ulinzi dhidi ya wapinzani.

Silvio Berlusconi alikuwa PM wa Italy akiwa bilionea mkubwa, Trump kawa Rais wa Marekani akiwa bilionea, Thaksin Shinawatra wa Thailand alikuwa PM akiwa bilionea na kamiliki club ya Manchester City. Na mifano mingi hata hapa nchini. Hata huyu Gwajima hajaenda bungeni kutafuta mishahara bali ana deals zake sio mahala pake hapa.

Suala rahisi sana kuelewa ila sio kwa watu wanaotuma habari kwa huyo 'da Mange'
 
Extremely dissapointing.

Mwanasisa wa third world na watu wake.

Anajimwambafy ametajirika, na tunajua mtaji kaupatia bungeni, au kama hajaupata bungeni basi alikuwa anafanya biashara akiwa bungeni, maana tunajua kaenda mule kapuku kama sisi akigombea mgao wa mradi wa Malaria. Yani hakuwa committed full time kushuulika na mambo yetu.

Nchi za watu walioendelea na wanaozido kuendelea mwanasiasa asingejitanua kutangaza kawa bilionea.

Sugu ana take advantage ya illiterate society yake akijua reputation yake haiwezi kuhojiwa kwa jambo kama hilo.
 
Sugu ameanza kutafuta hela wakati wewe bado uko kwenye kiuno cha baba yako.
Acha chuki za kindezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…