Sugu, Lema, Boni Yai Wasusia Mkutano Iringa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mwandishi : Kwanini Sugu, Lema na Boni Yai walisusia mkutano wa Makamu Heche Iringa.

John Mnyika : Nakiri kweli hawakuja, ila sikuwauliza kwanini hawajaja, japo hilo jambo tumeomba Baraza la Wazee liingilie ili lifanye usuluhishi wa viongozi wetu.

🎤 : Press
 
Elimu ELimu ELimu.

Haujaelewa chcohote ndiyo maana unatumika hovyo.
 
Kwani walikuwa wanahutubiwa wao? Mbona baadhi ya mikutano ya Samia Nchimbi na Mwigulu huwa hawahudhulii.
 
Yenu huko yanawashinda mmeykalia ya Chadema, hamchoki;
Kila mtu anwashangaa, na nchi imewashinda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…