Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

Nani kakwambia umri wake ni matangazo ya biashara? Na unataka umri wake wa nini? Ukishaujua ukusaidie nini? Nyie ndo wambea na wanafiki, badala ya kufikiria mambo ya maana unafikiria private information. Kwendreeaaah huko

We kweli wali nazi....
Kwenye kipindi chake Diary anasema kinahusu MAISHA BINAFSI unashoboka nini mi kutaka kujua umri wake???
 
Ukitaka matusi mimi nina kamusi na utapanic utaishia kwenye ban.

Hatuhitaji porojo jukwaani tueleze mwaka aliozaliwa Jide maana unamjuwa sana, kama kijambio kinakusha sema pia ukunwe kama nazi siyo unakata viuno tu.

Nikuulize we mamake.
 
nakumbuka Ben pol aliwahi kusema hakuna cku aliyojickia vibaya km cku alipokutana nae baada ya kutofautiana nae ila jide akamchangamkia km vle hakukuwa na tatzo lolote kati yao

Jide hawezi kuwalaumu hao madogo kina ben pol,barnaba na linah wale watoto wamepigwa beat na ma-boss wao kwamba hakuna kufanya show na jide so wao kama wao bado wachanga wakaona isiwe shida ndio maana jide hakuwa na beef nao wale watoto.
 
Kwa hiyo baada ya kutokea beef ndio Chid akapotezwa? Kwa hiyo Jide ndio sababu ya Chid kutofanya vizuri kimziki miaka minne sasa?

Mkubwa Rutta kumbuka Jide na Sugu wana-fans wengi sana kwahiyo kuna baadhi wa fans wa jide/sugu pia ni wapenzi wa chid so chid akileta beef na hao wakongwe lazima ataloose some of his fans hio ndio mantiki ya mtoa uzi.
 
We umetumwa nini??
Ishu kubwa hapa sio kukomaaa, ishu kubwa hapa ni yeye kua mtu mzima lakini kutokubali ukweli na kukataa miaka yake,

Ni kama yule miss tz wakati anapewa umiss mwaka 2006 alikua amenizidi umri lakini sasa hivi nashangaa eti mimi ndo nimemzidi umri

Miaka yake ni mingapi ambayo yeye anaikataa??
 
Refer O-Ten kipindi anafanya bifu la makusudi kwa Afande Sele.....je aliongeza mashabiki au alipunguza?

Nakubaliana na wewe Avemaria kuwa jide kawa maarufu kitambo! Je mifarakano na watu haijamsaidia? Na huyo Chid amepotezwa vipi na Jide? Mwana FA kapotezwa vipi? Mbona anatoa muziki mzuri? Mbona anapiga show? Mbona Clouds media wanafanya biashara vizuri kama zamani? Ni nani kapotezwa?
 
Last edited by a moderator:
Jide namkubali sana. Ukiwa unasimama mwenyewe unafika mbali sana.

Muweka mada mbona hujaiongelea clouds??
 
Ila Jide ana miaka mingapi maana kuna siku nikicheki diary yake...uso umekomaa sana yani pamoja na ma make up lakini wapi..
Sema wanaficha umri wao ila sura zinawaumbua sana.
Emenem kazaliwa 1972 ila nahisi Jide ni mkubwa kushinda Eminem

Umri una uhusiano gani na muziki? Hayati Bi Kidude aliimba hadi akiwa na umri gani. Kutoa chuki binafsi Lady Jay Dee ni mwanamuziki mwenye mvuto na tungo zake zina mvuto kwa marika yote. Binafsi sijamwona msanii wa kike wa level yake; at least at present!
 
Usikurupuke nimeuliza kua mkongwe huyu ana miaka mingapi.
Chuki binafsi mi namjua yeye hadi nimchukie.
Kwani kutaka kujua miaka ya mkongwe huyu ni tatizo maana yupo kwenye game kitambo sana.
 
Kumdis Sugu ni kujitafutia laana ya bure, Sugu ni mtu mwenye misimamo ambaye aliweza kusimama mwenyewe kama soul artist kitu ambacho ilikuwa haiwezekani.

Kwenye Mabonanza ya Kim & boys alikuwa anafanya show bila kulipwa hata shilling, nakumbuka kwenye mashindano ya Taifa ya Rap yalifanyika Avalon mwaka 93 lakini yeye hakushiriki kwa sababu hakuna vigezo yalitakiwa makundi ila walimpa nafasi ya kutoa show na single yake ya siku yangu.

Washindi wa kwanza walichukuwa Hard blasters wa pili wakawa Gangstes with Matatizo GWM na watatu wakawa Live with purpose LWP.

Mashindanonya Rap hayakufanyika Avalon yalifanyika Embassy hotel 7th floor na mshindi alikuwa Saleh Jabir ambaye alikuwa ndio Vanilla Ice wa Tz...na usiku ule marehem Adili Kumbuka aka Nigga One na Mwamba (kijana wa Kizambia) walikuwa wapili

Huyu sugu sikuwahi kumwona wala kumsikia
 
Ukitaka matusi mimi nina kamusi na utapanic utaishia kwenye ban.

Hatuhitaji porojo jukwaani tueleze mwaka aliozaliwa Jide maana unamjuwa sana, kama kijambio kinakusha sema pia ukunwe kama nazi siyo unakata viuno tu.

Ahahah ahahahaah
 
Wakati huo Sugu amepanga chumba mbagala na ni mlinzi wa getini BP ajira ambayo alikuwa akipata kipato kizuri sana kutokana na mishemishe za wese,

Kabla ya kupata lidandasi aligunduwa hawezi kufika popote bila kujichanganya na watoto wa kishuwa upanga ndio akajichanganya Don Bosco na kupiga story na kwanza Unity na baadaye Sugu alijumuishwa kwenye kundi la Diplomatz na king Saigon na Balozi lakini yeye akiendelea na Solo project zake kabla xa kwenda kupiga box UK.

Na hapo ndipo ilipotokea hujuma kabla Clouds fm haijaanzishwa na Radio one walikifuta rasmi kipindi cha Rap cha kila ijumaa ambacho kilikuwa chini ya Mike Mhagama hii ilikuwa ni kabla ya mwaka 95 na ndio 2 proud katika mistari aliwachana redio one kwamba yeye alianza kurap kabla ya Fm na watu walimfahamu.

Jide nilianza kumsikia yeye na Ray C wakiwa watangazaji wa clouds na baadaye wakatoa single zao, hakuna mwanabongo fleva nchi wa kumfananisha na Sugu, huyu ni Die harder.

Kama unafuatilia Bongo hiphop kuna vichwa vya ukweli lakini vimeshindwa kukomaa na wamenyoosha mikono juu lakini ni Sugu peke yake aliweza kukomaa.

Angalia hard blasters, Kwanza Unity, LWP, Wateule, Source B, Unique Sisters, Skwiza na dada yake huu ni mfano wa vipaji vilivyopotezwa na mfumo wa muziki wa Bongo.

Namjua sugu kitambo sana japo nilikua kinda aisee lakini gu
Huwez amini nilikua muhudhuriaji mzuri Wa yo rap bonanza na mengineyo
Nilikua natafakari kama umekopi kutoka kwenye kitabu chake lakini trust me kuna vitu umeongea hata kwenyw kitabu havipo
We jamaa uko vizuri sana no doubt mkuu
 
We umetumwa nini??
Ishu kubwa hapa sio kukomaaa, ishu kubwa hapa ni yeye kua mtu mzima lakini kutokubali ukweli na kukataa miaka yake,
Ni kama yule miss tz wakati anapewa umiss mwaka 2006 alikua amenizidi umri lakini sasa hivi nashangaa eti mimi ndo nimemzidi umri

Umewah kumuuliza akakataa?
Umri its a confidential thing
Kama Eminem ametaja haimaanish kila msanii anapaswa kutaja
unajua umri Wa kidiamond?sheta?
Membe?
Kinjekitile je?
 
Kumdis Sugu ni kujitafutia laana ya bure, Sugu ni mtu mwenye misimamo ambaye aliweza kusimama mwenyewe kama soul artist kitu ambacho ilikuwa haiwezekani.

Kwenye Mabonanza ya Kim & boys alikuwa anafanya show bila kulipwa hata shilling, nakumbuka kwenye mashindano ya Taifa ya Rap yalifanyika Avalon mwaka 93 lakini yeye hakushiriki kwa sababu hakuna vigezo yalitakiwa makundi ila walimpa nafasi ya kutoa show na single yake ya siku yangu.

Washindi wa kwanza walichukuwa Hard blasters wa pili wakawa Gangstes with Matatizo GWM na watatu wakawa Live with purpose LWP.

shikamooo kaka!
by the way hao woye aliowasema mr.g ni kweli yaani mi ukiwadiss hao nakudiss yaani kimtindo mtu km FA aisee alinikera yani hadi yale mapenzi yangu kwake yamepungua
Nampenda sugu mbaya binafsi am no 1hater wa clouds fm coz i know wao ndo wanajifanya miungu watu
Sikatai wao wamemonopolize music industry buy i hope they will have subsitute sooner or later
Na watabaki historia
 
Hayo yote nakubaliana na wewe kabisa!
Lakini ambacho kimewashinda ni kuonesha ni akina nani wali wagusa hao (Jide na Sugu) wakapotezwa?
Na walipotezwa vipi?

mi binafsi hao waliotajwa hasa FA alivyianza kumdiss SUGU nikaanza kudiss
Akaja kunitibua alivyokuja kumuingilia jide ndi kashanitoka hata km wanatoa mziki ila ukwi mchungu FA beef na jids limempoteza kiaina
 
Mashindanonya Rap hayakufanyika Avalon yalifanyika Embassy hotel 7th floor na mshindi alikuwa Saleh Jabir ambaye alikuwa ndio Vanilla Ice wa Tz...na usiku ule marehem Adili Kumbuka aka Nigga One na Mwamba (kijana wa Kizambia) walikuwa wapili

Huyu sugu sikuwahi kumwona wala kumsikia

Kama hujui kitu ni bora uulize uelekezwe na siyo uje na story za kuhadithiwa vijiweni.

Narudia tena mashindano yalifanyika Avalon na washindi walikuwa ni kina Terry Fanani na Willy wa Hard blasters, GWM na LWP.

Mr 2 alikuwa yupo vizuri ila hakuweza kushiriki kwa sababu alikuwa soul artist na utaratibu yalikuwa yanahitajika makundi ila alipewa shavu atowe show na Single yake ya kwanza siku yangu.

Saleh Eljabir hakuwa na sifa kwenye mashindano yale kwa sababu watu wanaoimba copy walikuwa hawatakiwi.

Hebu tutajie hata nyimbo moja ya Saleh ili tumalize ubishi. Na kwa taarifa yako miaka ya 90's kila jumapili mimi nilikuwa mpenzi wa pool side Kilimanjaro hotel. Je unaijuwa Seven Floor wewe? Sasa leo Kilimanjaro hotel kuna level eight, miaka ishirini baadaye watu wa kukariri watasema Fiesta ya Mwaka huu ilifanyika Kilimanjaro hotel na Mr Nice alifunika.
 
Ni kweli mambo ya kijamii hayahitaji facts? Mi nafikiri mnatakiwa kumsaidia mtoa mada ni jinsi gani hao aliowataja wamepotezwa?
Clouds hadi Leo wanafanya biashara vizuri!
Mwana FA hadi Leo ana Fanya vyema na anapata show.

Labda nikuulize Jide ndio alikuwa sababu ya Chid kupotea kwenye ramani ya muziki?

Mambo ya kijamii hayaitaji facts yapo tu mtaani, lakini yanatokea kweli . Ni kama utake facts za kwamba ukimtukana mzazi wako utapata laana kwenye maisha yako.

Mwana FA wa kabla ya ugomvi na awa wawili, ana tofauti kubwa sana na FA baada ya ugomvi. Ili haliitaji ubishi kuwa sasa FA anasurvive kwa huruma ya wadau wachache wanaomlipa fadhila kwa kuwasaidia beef zao, ila ile influence ya mwanzo hana .
 
Back
Top Bottom