Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Nani kakwambia umri wake ni matangazo ya biashara? Na unataka umri wake wa nini? Ukishaujua ukusaidie nini? Nyie ndo wambea na wanafiki, badala ya kufikiria mambo ya maana unafikiria private information. Kwendreeaaah huko
Ukitaka matusi mimi nina kamusi na utapanic utaishia kwenye ban.
Hatuhitaji porojo jukwaani tueleze mwaka aliozaliwa Jide maana unamjuwa sana, kama kijambio kinakusha sema pia ukunwe kama nazi siyo unakata viuno tu.
I see......
Kumbe wewe ni mtaalam wa kingereza kuliko kiswahili lugha yako ya Taifa?
nakumbuka Ben pol aliwahi kusema hakuna cku aliyojickia vibaya km cku alipokutana nae baada ya kutofautiana nae ila jide akamchangamkia km vle hakukuwa na tatzo lolote kati yao
Kwa hiyo baada ya kutokea beef ndio Chid akapotezwa? Kwa hiyo Jide ndio sababu ya Chid kutofanya vizuri kimziki miaka minne sasa?
Nikuulize we mamake.
Mtaalam wap uyo mchele mchele kutaka kiki tu hapa.
We umetumwa nini??
Ishu kubwa hapa sio kukomaaa, ishu kubwa hapa ni yeye kua mtu mzima lakini kutokubali ukweli na kukataa miaka yake,
Ni kama yule miss tz wakati anapewa umiss mwaka 2006 alikua amenizidi umri lakini sasa hivi nashangaa eti mimi ndo nimemzidi umri
Nakubaliana na wewe Avemaria kuwa jide kawa maarufu kitambo! Je mifarakano na watu haijamsaidia? Na huyo Chid amepotezwa vipi na Jide? Mwana FA kapotezwa vipi? Mbona anatoa muziki mzuri? Mbona anapiga show? Mbona Clouds media wanafanya biashara vizuri kama zamani? Ni nani kapotezwa?
Ila Jide ana miaka mingapi maana kuna siku nikicheki diary yake...uso umekomaa sana yani pamoja na ma make up lakini wapi..
Sema wanaficha umri wao ila sura zinawaumbua sana.
Emenem kazaliwa 1972 ila nahisi Jide ni mkubwa kushinda Eminem
Umri una uhusiano gani na muziki? Hayati Bi Kidude aliimba hadi akiwa na umri gani. Kutoa chuki binafsi Lady Jay Dee ni mwanamuziki mwenye mvuto na tungo zake zina mvuto kwa marika yote. Binafsi sijamwona msanii wa kike wa level yake; at least at present!
Miaka yake ni mingapi ambayo yeye anaikataa??
Kumdis Sugu ni kujitafutia laana ya bure, Sugu ni mtu mwenye misimamo ambaye aliweza kusimama mwenyewe kama soul artist kitu ambacho ilikuwa haiwezekani.
Kwenye Mabonanza ya Kim & boys alikuwa anafanya show bila kulipwa hata shilling, nakumbuka kwenye mashindano ya Taifa ya Rap yalifanyika Avalon mwaka 93 lakini yeye hakushiriki kwa sababu hakuna vigezo yalitakiwa makundi ila walimpa nafasi ya kutoa show na single yake ya siku yangu.
Washindi wa kwanza walichukuwa Hard blasters wa pili wakawa Gangstes with Matatizo GWM na watatu wakawa Live with purpose LWP.
Ukitaka matusi mimi nina kamusi na utapanic utaishia kwenye ban.
Hatuhitaji porojo jukwaani tueleze mwaka aliozaliwa Jide maana unamjuwa sana, kama kijambio kinakusha sema pia ukunwe kama nazi siyo unakata viuno tu.
Wakati huo Sugu amepanga chumba mbagala na ni mlinzi wa getini BP ajira ambayo alikuwa akipata kipato kizuri sana kutokana na mishemishe za wese,
Kabla ya kupata lidandasi aligunduwa hawezi kufika popote bila kujichanganya na watoto wa kishuwa upanga ndio akajichanganya Don Bosco na kupiga story na kwanza Unity na baadaye Sugu alijumuishwa kwenye kundi la Diplomatz na king Saigon na Balozi lakini yeye akiendelea na Solo project zake kabla xa kwenda kupiga box UK.
Na hapo ndipo ilipotokea hujuma kabla Clouds fm haijaanzishwa na Radio one walikifuta rasmi kipindi cha Rap cha kila ijumaa ambacho kilikuwa chini ya Mike Mhagama hii ilikuwa ni kabla ya mwaka 95 na ndio 2 proud katika mistari aliwachana redio one kwamba yeye alianza kurap kabla ya Fm na watu walimfahamu.
Jide nilianza kumsikia yeye na Ray C wakiwa watangazaji wa clouds na baadaye wakatoa single zao, hakuna mwanabongo fleva nchi wa kumfananisha na Sugu, huyu ni Die harder.
Kama unafuatilia Bongo hiphop kuna vichwa vya ukweli lakini vimeshindwa kukomaa na wamenyoosha mikono juu lakini ni Sugu peke yake aliweza kukomaa.
Angalia hard blasters, Kwanza Unity, LWP, Wateule, Source B, Unique Sisters, Skwiza na dada yake huu ni mfano wa vipaji vilivyopotezwa na mfumo wa muziki wa Bongo.
We umetumwa nini??
Ishu kubwa hapa sio kukomaaa, ishu kubwa hapa ni yeye kua mtu mzima lakini kutokubali ukweli na kukataa miaka yake,
Ni kama yule miss tz wakati anapewa umiss mwaka 2006 alikua amenizidi umri lakini sasa hivi nashangaa eti mimi ndo nimemzidi umri
Kumdis Sugu ni kujitafutia laana ya bure, Sugu ni mtu mwenye misimamo ambaye aliweza kusimama mwenyewe kama soul artist kitu ambacho ilikuwa haiwezekani.
Kwenye Mabonanza ya Kim & boys alikuwa anafanya show bila kulipwa hata shilling, nakumbuka kwenye mashindano ya Taifa ya Rap yalifanyika Avalon mwaka 93 lakini yeye hakushiriki kwa sababu hakuna vigezo yalitakiwa makundi ila walimpa nafasi ya kutoa show na single yake ya siku yangu.
Washindi wa kwanza walichukuwa Hard blasters wa pili wakawa Gangstes with Matatizo GWM na watatu wakawa Live with purpose LWP.
Hayo yote nakubaliana na wewe kabisa!
Lakini ambacho kimewashinda ni kuonesha ni akina nani wali wagusa hao (Jide na Sugu) wakapotezwa?
Na walipotezwa vipi?
Mashindanonya Rap hayakufanyika Avalon yalifanyika Embassy hotel 7th floor na mshindi alikuwa Saleh Jabir ambaye alikuwa ndio Vanilla Ice wa Tz...na usiku ule marehem Adili Kumbuka aka Nigga One na Mwamba (kijana wa Kizambia) walikuwa wapili
Huyu sugu sikuwahi kumwona wala kumsikia
Ni kweli mambo ya kijamii hayahitaji facts? Mi nafikiri mnatakiwa kumsaidia mtoa mada ni jinsi gani hao aliowataja wamepotezwa?
Clouds hadi Leo wanafanya biashara vizuri!
Mwana FA hadi Leo ana Fanya vyema na anapata show.
Labda nikuulize Jide ndio alikuwa sababu ya Chid kupotea kwenye ramani ya muziki?